Browsing National Development Plan by Author "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"
Now showing items 1-20 of 21
-
Hotuba Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2022/23
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu likae kama Kamati ya Mipango ili kupokea na kujadili mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ... -
Maelekezo ya Makadirio ya Fedha za Matumizi ya Kawaida na ya Mpango Wa Maendeleo Kwa Mwaka 1999 - 2000
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Ministry of Finance, 1999) -
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2019 -2020
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2019)Mheshimiwa Mwenyekiti, awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutujalia uhai na afya njema na kutuwezesha wabunge wote kukutana tena hapa Jijini Dodoma, kupokea mapendekezo ya ... -
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023 -2024
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)Serikali inaendelea na utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26 wenye dhima ya Kujenga Uchumi Shindani na Viwanda kwa Maendeleo ya Watu. Mpango huo ni mwendelezo wa utekelezaji ... -
Mapendekezo ya Makadirio ya Matumizi ya Kawaida na ya Mpango Wa Maendeleo Kwa Mwaka Wa 2000 - 2001 (Kitabu Cha Pili)
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2000) -
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2013-2014
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2014)Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2015/16 ni ya Mpango wa mwisho katika utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka Milano (2011/12 •2015/16) Iii kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025. -
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa,2019
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2019)Mapendekezo ya Mpango wa Maendele wa Taifa w.i Mwaka 2019/20 yanal enga kuweka msingi k wa ajili ya maandalizi ya Mpango wa Mwaka 2019/20. Lvlpango huo u takuwa wa nne katika utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa Jvfae:ndeleo ... -
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2013 - 2014
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2013)Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2013/14 ni ya pili katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ... -
Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/2026
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 ambayo ni nyenzo ya kuunganisha juhudi za Taifa katika kufikia malengo ya maendeleo yanayotarajiwa ya kijamii na kiuchumi ilizinduliwa mwaka 1999. Uzinduzi huo ulifuatiwa na hatua za maboresho ... -
Mapendekezo ya Serikali ya Mpango Wa Maendeleo Wa Taifa 2021-2022
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2021)Mpango wa Maendeloo wa Taifa wa Mwaka 2021./22 umeandaliwa kwa mujibu wa Ibara ya 63 (3) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwal<a 1977,Sheria ya Bajeti, Sura "'-"9 na Kanuni ya 1l6 (l) ya Ka.nuni za Kudumu ... -
Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022/23
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Uchumi, 2021)Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2021/22 umeandaliwa kwa mujibu wa Ibara ya 63 (3) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Bajeti, Sura 439. Mpango huu umeandaliwa kwa lengo la ... -
Mkakati wa Serikali wa Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa Kutekeleza Miradi yenye Kuchochea Upatikanaji wa Mapato ili ziweze Kujitegemea,2018
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2018)Ni lengo la serikali kuhakikisha kwamba mamlaka za serikali za mitaa zinaendelea kutumia fursa za kimapato zilizopo katika maeneo yao -
Mpango wa Maendeleo wa Mwaka,1986 - 1987
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 1987) -
Mpango Wa Maendeleo Wa Taifa 2014 - 2015
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, 2014)Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2014/15 ni wa tatu katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025. ... -
Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2017 - 2018
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2017)Mpango wa Maendeleo wa Mwaka 2017/18 ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 na hivyo unaendelea kutekeleza maeneo manne ya kipaumbele ya: (i) Viwanda vya kukuza uchumi ... -
Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2018 - 2019
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2018)Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2018/19 ni wa tatu katika utekelezaji wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano, 2016/17 – 2020/21. Malengo mahsusi ya Mpango huu ni: (a) Kuendeleza kasi ya ukuaji wa uchumi kwa ... -
Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2012 - 2013
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2012)Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2012/13 unabainisha misingi, malengo, vipaumbele, mikakati ya utekelezaji, na changamoto zilizopo hivi sasa katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo. Aidha, Mpango umejikita katika ... -
Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2017 - 2018
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2017/18 ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 na hivyo unaendelea kutekeleza maeneo manne ya kipaumbele ya: (i) Viwanda vya kukuza ... -
Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022 - 2023
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022/23 ni wa Pili katika utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26 wenye dhima ya Kujenga Uchumi Shindani na Viwanda kwa Maendeleo ya Watu ... -
Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023- 2024
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2023)Mpango wa Mwaka 2023/24 ni wa tatu katika utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26, wenye dhima ya Kujenga Uchumi Shindani na Viwanda kwa Maendeleo ya Watu. Mpango huu ni ...