Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2013-2014
Abstract
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2015/16 ni ya Mpango wa mwisho katika utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka Milano (2011/12 •2015/16) Iii kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025.