Recent Submissions

 • Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/2026 

  Jamhuri ya Muungano, Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)
  Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 ambayo ni nyenzo ya kuunganisha juhudi za Taifa katika kufikia malengo ya maendeleo yanayotarajiwa ya kijamii na kiuchumi ilizinduliwa mwaka 1999. Uzinduzi huo ulifuatiwa na hatua za maboresho ...
 • Hotuba Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2022/23 

  Jamhuri ya Muungano, Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)
  Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu likae kama Kamati ya Mipango ili kupokea na kujadili mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ...
 • Financing Strategy of the National Five-Year Development Plan 2021/22 – 2025/26 

  United Republic, Tanzania (Ministry of Finance and Planning, 2021)
  Realizing effective implementation of the prioritized interventions under The Third National Five-Year Development Plan (FYDP III) requires mobilizing a diverse range of public and private financial resources. This Financing ...
 • Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2013 - 2014 

  Jamhuri ya Muungano, Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2013)
  Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2013/14 ni ya pili katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ...
 • Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023 -2024 

  Jamhuri ya Muungano, Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2023)
  Serikali inaendelea na utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26 wenye dhima ya Kujenga Uchumi Shindani na Viwanda kwa Maendeleo ya Watu. Mpango huo ni mwendelezo wa utekelezaji ...
 • Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022/23 

  Jamhuri ya Muungano, Tanzania (Wizara ya Fedha na Uchumi, 2021)
  Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2021/22 umeandaliwa kwa mujibu wa Ibara ya 63 (3) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Bajeti, Sura 439. Mpango huu umeandaliwa kwa lengo la ...
 • Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2021 - 2022 

  Jamhuri ya Muungano, Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)
  Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2021/22 umeandaliwa kwa mujibu wa Ibara ya 63 (3) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Bajeti, Sura 439. Mpango huu umeandaliwa kwa lengo la ...
 • Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2020 - 2021 

  Jamhuri ya Muungano, Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2020)
  Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2020/21 ni wa tano na wa mwisho katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 wenye dhima ya Kujenga ...
 • Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2018 - 2019 

  Jamhuri ya Muungano, Tanzania (Wizara ya Fedha na Uchumi, 2018)
  Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2018/19 ni wa tatu katika utekelezaji wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano, 2016/17 – 2020/21. Malengo mahsusi ya Mpango huu ni: (a) Kuendeleza kasi ya ukuaji wa uchumi kwa ...
 • Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2017-2018 

  Jamhuri ya Muungano, Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)
  Mpango wa Maendeleo wa Mwaka 2017/18 ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 na hivyo unaendelea kutekeleza maeneo manne ya kipaumbele ya: (i) Viwanda vya kukuza uchumi ...
 • Hali ya Uchumi 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2016-17 

  Jamhuri ya Muungano, Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2016)
  Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa Mwaka 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2016/17. Pamoja na hotuba hii nawasilisha vitabu vya Taarifa ...
 • Taarifa ya Hali ya Uchumi 2008 na Malengo katika Kipindi cha Muda wa Kati 2009 - 2012 

  Jamhuri ya Muungano, Tanzania (Wizara ya Fedha na Uchumi, 2008)
  Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likae kama Kamati ili liweze kupokea na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa katika kipindi cha mwaka 2008 na malengo katika kipindi cha Muda wa Kati ...
 • Revised Medium Term Strategic Plan 2017-18 2020 - 2022 

  Tanzania, United Republic (Ministry of Finance and Planning, 2022)
  Tanzania’s national development agenda is guided by both National and International Development Frameworks. The main National Development Framework under review is Long Term Perspective Plan (LTPP) 2025 which is implemented ...
 • Mpango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano (FYDP II): Ni kwa Jinsi gani Tutaboresha Utekelezaji katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa? 

  Tanzania, United Republic (Ministry of Finance and Planning, 2017)
  Mwanzoni mwa mwaka 2016, Serikali ilizindua FYDP II, kwa lengo la kurekebisha mapungufu ya FYDP I na kutoa mpango makini wakati Tanzania inapoanza kuelekea katika maendeleo ya viwanda katika miaka mitano ijayo (2016 – ...
 • Revised Medium Term Strategic Plan 2017-18 2020 - 2021 

  Tanzania, United Republic (2020)
  The Ministry of Finance and Planning (MoFP) is responsible for economic and public finance management. The statutory functions of the Ministry are stipulated in the Government Notice No.144 published on 22nd April, 2016 ...
 • Mkakati wa Ugharamiaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/262021/22 – 2025/26 

  Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)
  Utekelezaji madhubuti wa vipaumbele vya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 - 2025/26 unahitaji rasilimali fedha kutoka vyanzo mbalimbali vya sekta ya umma na sekta binafsi. Mkakati wa Ugharamiaji ...
 • National Five-Year Development Plan 2021/22–2025/26 

  Tanzania, United Republic (Planning Commission, 1995)
  We are standing at the thredshold of the 21st Century, a Century that will be characterized by competition. It is clear, therefore, that it will be a century dominated by those with advanced technological capacity, high ...
 • Tanzania Development Plan, Vision and Investment Priorities to Achieve Middle Income Status by 2025 

  Tanzania, United Republic (Ministry of Finance and Planning, 2000)
  The LTPP is some kind of a road map for ensuring that the country moves in the direction of realizing TDV 2025 in the decade and half of implementation that remained in all aspects. It was observed that significant structural ...
 • National Five Year Development Plan 2016/17-2021/22 

  Tanzania, United Republic (Ministry of Finance and Planning, 2021-06)
  On December 9, 2016, Tanzania will be commemorating its 55th Independence Anniversary. The motivation for our mothers, fathers, sisters and brothers for rallying behind the collective objective of ending colonialism ...
 • The Tanzania Five Year Development Plan 2011/12-2015/16 

  Tanzania, United Republic (Ministry of Finance and Planning, 2011-06)
  It is indeed my great pleasure to present to you this National Five Year Development Plan (2011/12-2015/16) to implement the Tanzania Development Vision 2025. This Plan is the first in a series of three Five Year ...

View more