Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa,2019
Abstract
Mapendekezo ya Mpango wa Maendele wa Taifa w.i Mwaka 2019/20 yanal enga kuweka msingi k wa ajili ya maandalizi ya Mpango wa Mwaka 2019/20. Lvlpango huo u takuwa wa nne katika utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa Jvfae:ndeleo wa Miaka lvUtano,2 016/17- 2020/21, wenye clhima ya Kujenga Uchumi wa Viwanda iii Kuchochea Mageuzi ya Uch u,ni na Maendeleo ya 1-Vatu.