Browsing National Development Plan by Issue Date
Now showing items 1-20 of 45
-
First year Progress Report on the Implementation of the Five-year Development Plan (Public Sector), 1964-1965
(Ministry of Finance, 1965)The Five-Year Plan is now a year old. It started very slowly but gathered some appreciable momentum during the latter part of the 1964/65 financial year. There were several reasons for the slow start. -
Mpango wa Tatu wa Maendeleo ya Miaka 5 ya Kiuchumi na Jamii, Mwaka 1976-1981 (Sehemu ya Kwanza)
(Wizara ya Fedha, 1981)Mpango wa Tatu wa Maendeleo ya Miaka Milano ya Kijamii na Kiucbumi oi barua ya mwisho kati.ka utekelezaji wa Mpango wa muda mrefu uliobuniwa mwaka 1964 kumalizikia 1980. Mpango huu wa tatu ambao unaanza mwaka 1976/77 na ... -
Mpango wa Maendeleo wa Mwaka,1986 - 1987
(Wizara ya Fedha, 1987) -
National Five-Year Development Plan 2021/22–2025/26
(Planning Commission, 1995)We are standing at the thredshold of the 21st Century, a Century that will be characterized by competition. It is clear, therefore, that it will be a century dominated by those with advanced technological capacity, high ... -
Maelekezo ya Makadirio ya Fedha za Matumizi ya Kawaida na ya Mpango Wa Maendeleo Kwa Mwaka 1999 - 2000
(Ministry of Finance, 1999) -
Tanzania Assistance Strategy, 2000
(Ministry of Finance and Planning, 2000)The TAS process began in 1995, following a period of difficult relations between Tanzania and her Development Partners and the subsequent adoption of the recommendations of the Helleiner Report on Development Cooperation ... -
Tanzania Development Plan, Vision and Investment Priorities to Achieve Middle Income Status by 2025
(Ministry of Finance and Planning, 2000)The LTPP is some kind of a road map for ensuring that the country moves in the direction of realizing TDV 2025 in the decade and half of implementation that remained in all aspects. It was observed that significant structural ... -
The Tanzania Five Year Development Plan 2011/12-2015/16
(Ministry of Finance and Planning, 2011-06)It is indeed my great pleasure to present to you this National Five Year Development Plan (2011/12-2015/16) to implement the Tanzania Development Vision 2025. This Plan is the first in a series of three Five Year ... -
Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2012 - 2013
(Wizara ya Fedha, 2012)Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2012/13 unabainisha misingi, malengo, vipaumbele, mikakati ya utekelezaji, na changamoto zilizopo hivi sasa katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo. Aidha, Mpango umejikita katika ... -
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2013 - 2014
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2013)Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2013/14 ni ya pili katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ... -
Mpango Wa Maendeleo Wa Taifa 2014 - 2015
(Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, 2014)Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2014/15 ni wa tatu katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025. ... -
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2013-2014
(Wizara ya Fedha, 2014)Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2015/16 ni ya Mpango wa mwisho katika utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka Milano (2011/12 •2015/16) Iii kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025. -
Mpango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano (FYDP II): Ni kwa Jinsi gani Tutaboresha Utekelezaji katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa?
(Ministry of Finance and Planning, 2017)Mwanzoni mwa mwaka 2016, Serikali ilizindua FYDP II, kwa lengo la kurekebisha mapungufu ya FYDP I na kutoa mpango makini wakati Tanzania inapoanza kuelekea katika maendeleo ya viwanda katika miaka mitano ijayo (2016 – ... -
Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2017 - 2018
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2017/18 ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 na hivyo unaendelea kutekeleza maeneo manne ya kipaumbele ya: (i) Viwanda vya kukuza ... -
Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2017 - 2018
(Wizara ya Fedha, 2017)Mpango wa Maendeleo wa Mwaka 2017/18 ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 na hivyo unaendelea kutekeleza maeneo manne ya kipaumbele ya: (i) Viwanda vya kukuza uchumi ... -
Five years Medium Term Strategic Plan for the Public Finance Management Reform Program Phase V 2017-2022
(Ministry of Finance, 2017)The Government has been implementing the Public Finance Management ReformProgram in phases since 1998. So far four phases of the PFMRP have been concluded with some remarkable outcomes in managing public financial resources.The ... -
Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2018 - 2019
(Wizara ya Fedha, 2018)Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2018/19 ni wa tatu katika utekelezaji wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano, 2016/17 – 2020/21. Malengo mahsusi ya Mpango huu ni: (a) Kuendeleza kasi ya ukuaji wa uchumi kwa ... -
Mkakati wa Serikali wa Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa Kutekeleza Miradi yenye Kuchochea Upatikanaji wa Mapato ili ziweze Kujitegemea,2018
(Wizara ya Fedha, 2018)Ni lengo la serikali kuhakikisha kwamba mamlaka za serikali za mitaa zinaendelea kutumia fursa za kimapato zilizopo katika maeneo yao -
Implementation Strategy for National 5yrs Development Plan Volume III Strategy, 2016-2021
(Ministry of Finance, 2018)The FYDP II (2016/17 - 2020/21) with the theme of "Nurturing Industrialization for Economic Transformation and Human Development" is the merger of the FYDP I and MKUKUTA II frameworks is geared towards transforming Tanzania ...