• EN/SW
  • LOGIN

Ministry of Finance

Repository

    View Item 
    •   MoF Repository
    • National Development Plan
    • National Five - Year Financing Strategy
    • View Item
    •   MoF Repository
    • National Development Plan
    • National Five - Year Financing Strategy
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/2026

    Thumbnail
    View/Open
    Swahili - Text (1.709Mb)
    Date
    2021
    Author
    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
    Metadata
    Show full item record
    Abstract
    Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 ambayo ni nyenzo ya kuunganisha juhudi za Taifa katika kufikia malengo ya maendeleo yanayotarajiwa ya kijamii na kiuchumi ilizinduliwa mwaka 1999. Uzinduzi huo ulifuatiwa na hatua za maboresho mbalimbali ya kisera, kitaasisi na kimfumo katika miaka ya 2000. Maboresho haya yalikuwa muhimu kutokana na hali ya kiuchumi ambayo Tanzania ilipitia katika miaka ya 1980 na 1990. Katika kipindi hicho, nchi ilikabiliwa na kiwango kidogo cha ukuaji wa uchumi, uhaba mkubwa wa bidhaa na huduma muhimu,mfumuko mkubwa wa bei, madeni makubwa na yasiyohimilika, na makusanyo madogo yamapato ya Serikali. Katika kukabiliana na hali hiyo, Serikali ilichukua hatua kadhaa za maboresho ya kiuchumi kabla ya kuzindua Dira ya Maendeleo ya Taifa na mpango uliungwa mkono na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) uliojulikana kama programu ya maboresho ya mfumo wa uchumi (The Enhanced Structural Adjustment Facility - ESAF).
    URI
    https://repository.mof.go.tz/handle/123456789/429
    Collections
    • National Five - Year Financing Strategy [2]

    Contact Us

    The United Republic of Tanzania

    Ministry of Finance

    Treasury Square Building 18 Jakaya Kikwete Road

    P.O.BOX 2802,40468 Dodoma.

    Email Address: library@hazina.go.tz

    Phone: +255 26 2160000

    Related Links

    IFM Repository
    CBE Repository
    IRDP Repository
    TIA Repository
    EASTC Repository

    The repository is Designed and Developed by Ministry of Finance Content Maintained by Ministry of Finance

    Copyright © 2022 MoFP, All Rights Reserved.

     

    Browse

    MoF Repository Division & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Contact Us

    The United Republic of Tanzania

    Ministry of Finance

    Treasury Square Building 18 Jakaya Kikwete Road

    P.O.BOX 2802,40468 Dodoma.

    Email Address: library@hazina.go.tz

    Phone: +255 26 2160000

    Related Links

    IFM Repository
    CBE Repository
    IRDP Repository
    TIA Repository
    EASTC Repository

    The repository is Designed and Developed by Ministry of Finance Content Maintained by Ministry of Finance

    Copyright © 2022 MoFP, All Rights Reserved.