Mapendekezo ya Serikali ya Mpango Wa Maendeleo Wa Taifa 2021-2022
Abstract
Mpango wa Maendeloo wa Taifa wa Mwaka 2021./22 umeandaliwa kwa mujibu wa Ibara ya 63 (3) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwal<a 1977,Sheria ya Bajeti, Sura "'-"9 na Kanuni ya 1l6 (l) ya Ka.nuni za Kudumu za Bunge laJam.huri ya Muunga.no wa Tanzania, Toleo la Juni 2020