Browsing National Development Plan by Subject "Uchumi"
Now showing items 1-9 of 9
-
Hotuba Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2022/23
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu likae kama Kamati ya Mipango ili kupokea na kujadili mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ... -
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2013 - 2014
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2013)Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2013/14 ni ya pili katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ... -
Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/2026
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 ambayo ni nyenzo ya kuunganisha juhudi za Taifa katika kufikia malengo ya maendeleo yanayotarajiwa ya kijamii na kiuchumi ilizinduliwa mwaka 1999. Uzinduzi huo ulifuatiwa na hatua za maboresho ... -
Mapendekezo ya Serikali ya Mpango Wa Maendeleo Wa Taifa 2021-2022
(Wizara ya Fedha, 2021)Mpango wa Maendeloo wa Taifa wa Mwaka 2021./22 umeandaliwa kwa mujibu wa Ibara ya 63 (3) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwal<a 1977,Sheria ya Bajeti, Sura "'-"9 na Kanuni ya 1l6 (l) ya Ka.nuni za Kudumu ... -
Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022/23
(Wizara ya Fedha na Uchumi, 2021)Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2021/22 umeandaliwa kwa mujibu wa Ibara ya 63 (3) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Bajeti, Sura 439. Mpango huu umeandaliwa kwa lengo la ... -
Mpango Wa Maendeleo Wa Taifa 2014 - 2015
(Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, 2014)Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2014/15 ni wa tatu katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025. ... -
Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022 - 2023
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022/23 ni wa Pili katika utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26 wenye dhima ya Kujenga Uchumi Shindani na Viwanda kwa Maendeleo ya Watu ... -
Mpango wa Tatu wa Maendeleo ya Miaka 5 ya Kiuchumi na Jamii, Mwaka 1976-1981 (Sehemu ya Kwanza)
(Wizara ya Fedha, 1981)Mpango wa Tatu wa Maendeleo ya Miaka Milano ya Kijamii na Kiucbumi oi barua ya mwisho kati.ka utekelezaji wa Mpango wa muda mrefu uliobuniwa mwaka 1964 kumalizikia 1980. Mpango huu wa tatu ambao unaanza mwaka 1976/77 na ...