Now showing items 1-7 of 7

    • Hotuba Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2022/23 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)
      Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu likae kama Kamati ya Mipango ili kupokea na kujadili mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ...
    • Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2013 - 2014 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2013)
      Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2013/14 ni ya pili katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ...
    • Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/2026 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)
      Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 ambayo ni nyenzo ya kuunganisha juhudi za Taifa katika kufikia malengo ya maendeleo yanayotarajiwa ya kijamii na kiuchumi ilizinduliwa mwaka 1999. Uzinduzi huo ulifuatiwa na hatua za maboresho ...
    • Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022/23 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Uchumi, 2021)
      Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2021/22 umeandaliwa kwa mujibu wa Ibara ya 63 (3) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Bajeti, Sura 439. Mpango huu umeandaliwa kwa lengo la ...
    • Mpango Wa Maendeleo Wa Taifa 2014 - 2015 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, 2014)
      Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2014/15 ni wa tatu katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025. ...
    • Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2017 - 2018 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)
      Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2017/18 ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 na hivyo unaendelea kutekeleza maeneo manne ya kipaumbele ya: (i) Viwanda vya kukuza ...
    • Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022 - 2023 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)
      Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022/23 ni wa Pili katika utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26 wenye dhima ya Kujenga Uchumi Shindani na Viwanda kwa Maendeleo ya Watu ...