National Development Plan
Permanent URI for this communityhttp://10.1.67.219/handle/123456789/9
Browse
Browsing National Development Plan by Issue Date
Now showing 1 - 20 of 51
- Results Per Page
- Sort Options
Item First year Progress Report on the Implementation of the Five-year Development Plan (Public Sector), 1964-1965(Ministry of Finance, 1965) The United Republic of TanzaniaThe Five-Year Plan is now a year old. It started very slowly but gathered some appreciable momentum during the latter part of the 1964/65 financial year. There were several reasons for the slow start.Item Mpango wa Tatu wa Maendeleo ya Miaka 5 ya Kiuchumi na Jamii, Mwaka 1976-1981 (Sehemu ya Kwanza)(Wizara ya Fedha, 1981) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMpango wa Tatu wa Maendeleo ya Miaka Milano ya Kijamii na Kiucbumi oi barua ya mwisho kati.ka utekelezaji wa Mpango wa muda mrefu uliobuniwa mwaka 1964 kumalizikia 1980. Mpango huu wa tatu ambao unaanza mwaka 1976/77 na kumaJizikia mwaka 1980/81 wa kwanza na pekee ambao umejadiliwa n a vikao vya ngazi zote za Taifa kutoka Vijijini, Wilayani, Mikoani na katika Taifa.Item Mpango wa Maendeleo wa Mwaka,1986 - 1987(Wizara ya Fedha, 1987) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem National Five-Year Development Plan 2021/22–2025/26(Planning Commission, 1995) Tanzania, United RepublicWe are standing at the thredshold of the 21st Century, a Century that will be characterized by competition. It is clear, therefore, that it will be a century dominated by those with advanced technological capacity, high productivity, modern and efficient transport and communication infrastructure and, above all highly skilled manpower imbued with initiative. If we are to be active participants in the global developments of the twenty-first century we must, as a Nation, find ways of improving and strengthening ourselves in all these areas.Item Maelekezo ya Makadirio ya Fedha za Matumizi ya Kawaida na ya Mpango Wa Maendeleo Kwa Mwaka 1999 - 2000(Ministry of Finance, 1999) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Tanzania Development Plan, Vision and Investment Priorities to Achieve Middle Income Status by 2025(Ministry of Finance and Planning, 2000) Tanzania, United RepublicThe LTPP is some kind of a road map for ensuring that the country moves in the direction of realizing TDV 2025 in the decade and half of implementation that remained in all aspects. It was observed that significant structural transformation was required in order to reach the desired middle income status with US$ 3,000 per capita income in the remaining 15 years.Item Tanzania Assistance Strategy, 2000(Ministry of Finance and Planning, 2000) Tanzania, United RepublicThe TAS process began in 1995, following a period of difficult relations between Tanzania and her Development Partners and the subsequent adoption of the recommendations of the Helleiner Report on Development Cooperation Issues. The TAS provides the strategic framework through which external resources are managed to achieve the PRS objectives.Item Mapendekezo ya Makadirio ya Matumizi ya Kawaida na ya Mpango Wa Maendeleo Kwa Mwaka Wa 2000 - 2001 (Kitabu Cha Pili)(Wizara ya Fedha, 2000) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Millennium Development Goals Progress Report,2006(Ministry of Finance, 2006) The United Republic of TanzaniaMillennium Development Goals Progress ReportItem The Tanzania Five Year Development Plan 2011/12-2015/16(Ministry of Finance and Planning, 2011-06) Tanzania, United RepublicIt is indeed my great pleasure to present to you this National Five Year Development Plan (2011/12-2015/16) to implement the Tanzania Development Vision 2025. This Plan is the first in a series of three Five Year Development Plans, which aim at transforming Tanzania into a middle-income country by 2025. This is envisaged to happen through the targeting of strategic priority interventions to move Tanzania to a higher growth trajectory coupled with a shift from an agriculture-based to an industry-based economy. Furthermore, this growth momentum will have to be duly monitored in order to make sure its benefits are broadly shared and reflected in improved quality of life for the majority of Tanzanians. Employment creation, particularly for the youth, is also a critical cross-cutting target of this Plan. The overall theme of this Plan is to unleash Tanzania‟s growth potentials.Item Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2012 - 2013(Wizara ya Fedha, 2012) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2012/13 unabainisha misingi, malengo, vipaumbele, mikakati ya utekelezaji, na changamoto zilizopo hivi sasa katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo. Aidha, Mpango umejikita katika kuwekeza kwenye maeneo ya kipaumbele ya kimkakati ambayo yataleta matokeo ya haraka katika ukuaji wa uchumi na kwa namna ambayo ni shirikishi.Item Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2013 - 2014(Wizara ya Fedha na Mipango, 2013) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2013/14 ni ya pili katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025. Hivyo, mapendekezo hayo yanajikita katika kuendelea kuzingatia vipaumbele vya Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano vifuatavyo: (i) Miundombinu ya nishati, usafirishaji, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), maji safi na maji taka na umwagiliaji; (ii) Kilimo ikijumuisha mazao ya chakula na biashara, malighafi ya viwandani, ufugaji, uvuvi na misitu; (iii) Viwanda vinavyotumia malighafi hususan za ndani na kuongeza thamani, viwanda vikubwa vya mbolea na saruji, viwanda vya kanda maalum za kiuchumi, kielektroniki na TEHAMA; (iv) Maendeleo ya rasilimali watu na ujuzi kwa kutilia mkazo sayansi, teknolojia na ubunifu na kuimarisha mafanikio ya upatikanaji wa huduma za jamii; na (v) Uendelezaji wa huduma za utalii, biashara na fedha.Item Mpango Wa Maendeleo Wa Taifa 2014 - 2015(Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, 2014) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2014/15 ni wa tatu katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025. Hivyo, mpango huu unajikita katika kuendelea kuzingatia vipaumbele vya Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano vifuatavyo: (i) Miundombinu ya nishati, usafirishaji, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), maji safi na maji taka na umwagiliaji; (ii) Kilimo ikijumuisha mazao ya chakula na biashara, malighafi ya viwandani, ufugaji, uvuvi na misitu; (iii) Viwanda vinavyotumia malighafi hususan za ndani na kuongeza thamani, viwanda vikubwa vya mbolea na saruji, viwanda vya kanda maalum za kiuchumi, kielektroniki na TEHAMA; (iv) Maendeleo ya rasilimali watu na ujuzi kwa kutilia mkazo sayansi, teknolojia na ubunifu na kuimarisha mafanikio ya upatikanaji wa huduma za jamii; na (v) Uendelezaji wa huduma za utalii, biashara na fedha.Item Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2013-2014(Wizara ya Fedha, 2014) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2015/16 ni ya Mpango wa mwisho katika utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka Milano (2011/12 •2015/16) Iii kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025.Item Mpango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano (FYDP II): Ni kwa Jinsi gani Tutaboresha Utekelezaji katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa?(Ministry of Finance and Planning, 2017) Tanzania, United RepublicMwanzoni mwa mwaka 2016, Serikali ilizindua FYDP II, kwa lengo la kurekebisha mapungufu ya FYDP I na kutoa mpango makini wakati Tanzania inapoanza kuelekea katika maendeleo ya viwanda katika miaka mitano ijayo (2016 – 2021). Katika kufanya marejeo ya FYDP I, serikali ilitambua kuwa mpango wa awali ulishindwa kufanikisha malengo yake mengi. Wakati Serikali imedhamiria kuwa ukuzaji wa viwanda ni kipaumbele katika miaka mitano ijayo, mapungufu ndani ya mpango unaweza kufanya nchi ishindwe kwa mara nyingine tena kama masuala yaliyojitokeza hayajafanyiwa kazi vya kutosha.Item Five years Medium Term Strategic Plan for the Public Finance Management Reform Program Phase V 2017-2022(Ministry of Finance, 2017) The United Republic of TanzaniaThe Government has been implementing the Public Finance Management ReformProgram in phases since 1998. So far four phases of the PFMRP have been concluded with some remarkable outcomes in managing public financial resources.The refonn focus has been ensuring that financial resources are prudently managedand controlled so as to enable quality service delivery as well as attaining national economic development aspirations. Attaining these endeavors has been a noble task of the PFM reform which to some extent enabled the Government to meet our stakeholders' expectations.Item Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2017 - 2018(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2017/18 ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 na hivyo unaendelea kutekeleza maeneo manne ya kipaumbele ya: (i) Viwanda vya kukuza uchumi na ujenzi wa msingi wa uchumi wa viwanda; (ii) Kufungamanisha maendeleo ya uchumi na watu; (iii) Mazingira wezeshi kwa uendeshaji biashara na uwekezaji; na (iv) Usimamizi wa utekelezaji. Aidha, lengo kuu la Mpango huu ni kuhakikisha rasilimali na fursa za nchi zinatumika kujenga uchumi wa viwanda na kuboresha maisha ya watanzania.Item Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2017 - 2018(Wizara ya Fedha, 2017) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMpango wa Maendeleo wa Mwaka 2017/18 ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 na hivyo unaendelea kutekeleza maeneo manne ya kipaumbele ya: (i) Viwanda vya kukuza uchumi na ujenzi wa msingi wa uchumi wa viwanda; (ii) Kufungamanisha maendeleo ya uchumi na watu; (iii) Mazingira wezeshi kwa uendeshaji biashara na uwekezaji; na (iv) Usimamizi wa utekelezaji. Aidha, lengo kuu la Mpango huu ni kuhakikisha rasilimali na fursa za nchi zinatumika kujenga uchumi wa viwanda na kupunguza umaskini.Item Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2018 - 2019(Wizara ya Fedha, 2018) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMpango wa Maendeleo wa Taifa 2018/19 ni wa tatu katika utekelezaji wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano, 2016/17 – 2020/21. Malengo mahsusi ya Mpango huu ni: (a) Kuendeleza kasi ya ukuaji wa uchumi kwa kuongeza matumizi ya fursa na majaliwa ya kipekee ya nchi kwa tija; (b) Kuimarisha kasi ya utekelezaji wa Mpango wa Miaka Mitano, hasa kwa kutanzua changamoto za upatikanaji wa fedha na mitaji, ardhi na maeneo ya uwekezaji, na kuimarisha mipango miji na maendeleo ya makazi; (c) Kuongeza uzalishaji wa bidhaa za viwandani; (d) Kupanua fursa kuwezesha wananchi wengi kushiriki katika uwekezaji na uendeshaji biashara ili kuongeza uwezo wa nchi na wananchi kupambana na umaskini; (e) Kuimarisha ustawi na maendeleo ya jamii kwa kuongeza upatikanaji wa huduma bora za afya, elimu, maji na kinga kwa jamii na kaya maskini; (f) Kuongeza idadi ya rasilimali watu yenye ujuzi na weledi unaohitajika katika uendeshaji wa uchumi wa viwanda na kuimarisha upatikanaji wa teknolojia na ubunifu na hivyo kujenga uwezo wa nchi kushindana kibiashara; na (g) Kuongeza uzalishaji katika sekta asili (primary production) ili kukidhi mahitaji na usalama wa chakula na upatikanaji wa mazao ghafi kwa uzalishaji viwandani kwa bei itakayowezesha ushindani kimataifaItem Mkakati wa Serikali wa Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa Kutekeleza Miradi yenye Kuchochea Upatikanaji wa Mapato ili ziweze Kujitegemea,2018(Wizara ya Fedha, 2018) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaNi lengo la serikali kuhakikisha kwamba mamlaka za serikali za mitaa zinaendelea kutumia fursa za kimapato zilizopo katika maeneo yao
- «
- 1 (current)
- 2
- 3
- »