National Five - Year Financing Strategy
Permanent URI for this collectionhttp://10.1.67.219/handle/123456789/426
Browse
Recent Submissions
Item Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/2026(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDira ya Taifa ya Maendeleo 2025 ambayo ni nyenzo ya kuunganisha juhudi za Taifa katika kufikia malengo ya maendeleo yanayotarajiwa ya kijamii na kiuchumi ilizinduliwa mwaka 1999. Uzinduzi huo ulifuatiwa na hatua za maboresho mbalimbali ya kisera, kitaasisi na kimfumo katika miaka ya 2000. Maboresho haya yalikuwa muhimu kutokana na hali ya kiuchumi ambayo Tanzania ilipitia katika miaka ya 1980 na 1990. Katika kipindi hicho, nchi ilikabiliwa na kiwango kidogo cha ukuaji wa uchumi, uhaba mkubwa wa bidhaa na huduma muhimu,mfumuko mkubwa wa bei, madeni makubwa na yasiyohimilika, na makusanyo madogo yamapato ya Serikali. Katika kukabiliana na hali hiyo, Serikali ilichukua hatua kadhaa za maboresho ya kiuchumi kabla ya kuzindua Dira ya Maendeleo ya Taifa na mpango uliungwa mkono na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) uliojulikana kama programu ya maboresho ya mfumo wa uchumi (The Enhanced Structural Adjustment Facility - ESAF).Item Financing Strategy of the National Five-Year Development Plan 2021/22 – 2025/26(Ministry of Finance and Planning, 2021) Tanzania, United RepublicRealizing effective implementation of the prioritized interventions under The Third National Five-Year Development Plan (FYDP III) requires mobilizing a diverse range of public and private financial resources. This Financing Strategy has been designed to ensure optimum resources are secured from both public and private sources. The strategy's overall objective is to ensure effective financial mobilization to realize FYDP III prioritized interventions and targets and address financing bottlenecks of plan’s implementation. The strategy's expected outcomes include: widened domestic revenue collection base; increased resources mobilization from development partners; increased participation of and capital inflows by non-Governmental actors; and identified and tapped new and innovative financing sources