Welcome to Ministry of Finance Repository
MoF Repository, An open electronic system that collect, preserve and distribute digital material created and authorized by MoF to be accessed public.

Knowledge Division
Select a Division to browse its collections.
Recent Submissions
The Finance Act, 2025
(Ministry of Finance, 2025-06) The United Republic of Tanzania
An Act to impose and alter certain taxes, duties, levies, fees and to amend certain written laws relating to collection and management of public revenues.
The Finance Act, 2024
(Ministry of Finance, 2024-06) The United Republic of Tanzania
An Act to impose and alter certain taxes, duties, levies, fees and to amend certain written laws relating to collection and management of public revenues.
Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2024
(Wizara ya Fedha, 2025-06) The United Republic of Tanzania
Mwaka 2024, Pato halisi la Taifa kwa bei za mwaka 2015 lilifikia shilingi bilioni 156,635.32 ikilinganishwa na shilingi bilioni 148,521.02 mwaka 2023, sawa na ukuaji wa asilimia 5.5 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 5.1 mwaka 2023. Ukuaji huo ulichangiwa na: utekelezaji endelevu wa miradi ya kimkakati na ya kielelezo inayohusisha miundombinu ya nishati na usafirishaji; kuanza kwa uzalishaji wa umeme katika Bwawa la Kufua Umeme wa Maji la Julius Nyerere; kuanza kwa usafirishaji wa abiria kupitia Reli ya Kati ya Kiwango cha Kimataifa - SGR kwa kipande cha kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma; kuongezeka kwa mikopo kwa sekta binafsi; usimamizi madhubuti wa sera za fedha; hali nzuri ya hewa iliyoimarisha uzalishaji wa mazao ya kilimo; na uwekezaji wa Serikali katika huduma za jamii, ikiwemo elimu, afya, maji na hifadhi ya jamii
Speech by the Minister for Finance, Hon. Dr. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mp), Presenting to the National Assembly, The Estimates of Government Revenue And Expenditure For 2025-2026
(Ministry of Finance, 2025-06-12) The United Republic of Tanzania
Honourable Speaker, I beg to move a motion that your Esteemed Parliament to receive, deliberate and approve the Government’s Revenue and Expenditure Estimates for 2025/26. This submission is in accordance with: Article 137 of the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977; Section 23 (3) of the Budget Act, Chapter 439; and Order 124 (4) of the Standing Orders of the Parliament, February 2023 Edition.
Hotuba ya Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb,) Akiwasilisha Bungeni Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2024-2025 na Mapendekezo ya Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka
(Wizara ya Fedha, 2025-06-04) Jamhuri ya Muungano ya Tanzanaia
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa leo mbele ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge likubali kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2024/25 inayoundwa na mafungu tisa (9) ambayo ni: Fungu 001 – Deni la Serikali; Fungu 006 – Idara ya Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali; Fungu 010 – Tume ya Pamoja ya Fedha; Fungu 013 – Kitengo cha Udhibiti wa Fedha Haramu; Fungu 021 – Hazina; Fungu 022 – Huduma za Mfuko Mkuu; Fungu 023 – Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali; Fungu 050 – Wizara ya Fedha; na Fungu 045 - Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi. Aidha, ninaliomba Bunge lako Tukufu likubali kupokea, kujadili na kuidhinisha Mapendekezo ya Mpango na Bajeti kwa mwaka 2025/26 ya mafungu nane (8) ya Wizara ya Fedha pamoja na Fungu 045 - Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.