Now showing items 21-29 of 29

    • Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2020 

      Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)
      Mwaka 2020, Pato la Taifa lilikua kwa asilimia 4.8 ikilinganishwa na asilimia 7.0 mwaka 2019. Kupungua kwa kasi ya ukuaji kulitokana na: mvua zilizozidi wastani ambazo zilisababisha uharibifu wa miundombinu ya usafirishaji ...
    • Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 

      Tanzania, United Republic (2019)
      Pato halisi la Taifa lilikua kwa asilimia 7.0 mwaka 2019 kama ilivyokuwa mwaka 2018. Ukuaji huu ulitokana na kuendelea kuimarika kwa sekta ya madini, kuboreshwa kwa huduma za usafiri na usafirishaji, pamoja na utekelezaji ...
    • Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 

      Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2019)
      Mwaka 2018, Serikali kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu ilifanya maboreshoya takwimu za Pato la Taifa kwa kutumia mwaka 2015 kama mwaka wa kizio kutoka mwaka wa kizio wa 2007. Kufuatia maboresho hayo, mabadiliko kadhaa ...
    • Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2017 

      Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)
      Mwaka 2017, Pato la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.1ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7.0 mwaka 2016. Ukuaji huu ulitokana na utekelezaji wa miradi ya miundombinu ikiwemo miundombinu ya maji, nishati, barabara, ...
    • Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2016 

      Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2016)
      Mwaka 2016, Pato la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.0, sawa na ilivyokuwa mwaka 2015. Ukuaji huu wa uchumi ulitokana na: kuongezeka kwa ufuaji wa umeme hususan utokanao na gesi asilia; kuongezeka kwa uzalishaji ...
    • Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2015 

      Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2015)
    • The Economic Survey 2012 

      The United Republic of Tanzania (Ministry of Finance and Planning, 2012-08)
      In 2012, real Gross Domestic Product (GDP) grew by 6.9 percent compared to 6.4 percent in 2011. The growth was a result of improved transport and communication infrastructures; improved industrial production following ...
    • The Economic Survey 2011 

      The United Republic of Tanzania (Ministry of Finance and Planning, 2011-08)
      In 2011, real Gross Domestic Product (GDP) grew by 6.4 percent compared to 7.0 percent in 2010. The slowdown in growth was a result of drought in different parts of the country, which affected agricultural sector and power ...
    • The National Economic Survey 2010 

      Tanzania, United Republic (Ministry of Finance and Planning, 2011-08)
      In 2010, the real GDP grew by 7.0 percent compared to 6.0 percent in 2009. This growth resulted from increased growth rates in economic activities that have substantial contribution to GDP including agricultural; trade and ...