• EN/SW
  • LOGIN

Ministry of Finance

Repository

    View Item 
    •   MoF Repository
    • National Economic Survey
    • The Economic Survey
    • View Item
    •   MoF Repository
    • National Economic Survey
    • The Economic Survey
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2020

    Thumbnail
    View/Open
    English Text (5.955Mb)
    Swahili-Full Text (5.438Mb)
    Date
    2021
    Author
    Tanzania, United Republic
    Metadata
    Show full item record
    Abstract
    Mwaka 2020, Pato la Taifa lilikua kwa asilimia 4.8 ikilinganishwa na asilimia 7.0 mwaka 2019. Kupungua kwa kasi ya ukuaji kulitokana na: mvua zilizozidi wastani ambazo zilisababisha uharibifu wa miundombinu ya usafirishaji nchini na kuchelewesha utekelezaji wa baadhi ya miradi; na athari za hatua zilizochukuliwa na mataifa mbalimbali duniani ambao ni washirika wakubwa wa biashara wa Tanzania katika kukabiliana na janga la UVIKO-19. Miongoni mwa hatua zilizochukuliwa na mataifa hayo ni pamoja na kufunga mipaka, kusitisha safari za ndege za kimataifa na kusitisha baadhi ya shughuli za kiuchumi zinazohusisha mikusanyiko. Hatua hizo zilisababisha uchumi wa dunia kuporomoka mwaka 2020 ambapo nchi nyingi zilikuwa na ukuaji hasi na kwa nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ni nchi 11 tu zilikuwa na ukuaji chanya kati ya nchi 45. Pamoja na kupungua kwa kasi ya ukuaji, Tanzania iliweza kuwa na ukuaji chanya kutokana na kutochukua hatua za kuzuia kufanyika kwa shughuli za kiuchumi isipokuwa kwa kipindi kifupi tu cha robo ya pili ya mwaka 2020 ambapo ilisitisha kwa muda baadhi ya shughuli zinazohusisha mikusanyiko ya watu kama shule, sanaa na burudani. Athari za janga la UVIKO-19 zilijitokeza zaidi katika shughuli za kiuchumi za malazi na huduma ya chakula pamoja na sanaa na burudani ambazo zilikuwa na ukuaji hasi mwaka 2020.
    URI
    http://repository.mof.go.tz/handle/123456789/176
    Collections
    • The Economic Survey [29]

    Contact Us

    The United Republic of Tanzania

    Ministry of Finance

    Treasury Square Building 18 Jakaya Kikwete Road

    P.O.BOX 2802,40468 Dodoma.

    Email Address: library@hazina.go.tz

    Phone: +255 26 2160000

    Related Links

    IFM Repository
    CBE Repository
    IRDP Repository
    TIA Repository
    EASTC Repository

    The repository is Designed and Developed by Ministry of Finance Content Maintained by Ministry of Finance

    Copyright © 2022 MoFP, All Rights Reserved.

     

    Browse

    MoF Repository Division & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Contact Us

    The United Republic of Tanzania

    Ministry of Finance

    Treasury Square Building 18 Jakaya Kikwete Road

    P.O.BOX 2802,40468 Dodoma.

    Email Address: library@hazina.go.tz

    Phone: +255 26 2160000

    Related Links

    IFM Repository
    CBE Repository
    IRDP Repository
    TIA Repository
    EASTC Repository

    The repository is Designed and Developed by Ministry of Finance Content Maintained by Ministry of Finance

    Copyright © 2022 MoFP, All Rights Reserved.