• EN/SW
  • LOGIN

Ministry of Finance and Planning

Repository

    View Item 
    •   MoFP Repository
    • National Economic Survey
    • Books
    • View Item
    •   MoFP Repository
    • National Economic Survey
    • Books
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019

    Thumbnail
    View/Open
    Swahili-Full Text (3.780Mb)
    Date
    2019
    Author
    Tanzania, United Republic
    Metadata
    Show full item record
    Abstract
    Pato halisi la Taifa lilikua kwa asilimia 7.0 mwaka 2019 kama ilivyokuwa mwaka 2018. Ukuaji huu ulitokana na kuendelea kuimarika kwa sekta ya madini, kuboreshwa kwa huduma za usafiri na usafirishaji, pamoja na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara, reli, viwanja vya ndege, miradi ya nishati ya umeme pamoja na ujenzi na ukarabati wa vituo vya kutolea huduma za afya. Sekta zilizokuwa na viwango vikubwa vya ukuaji mwaka 2019 ni pamoja na: madini iliyokua kwa asilimia 17.7; ujenzi (asilimia 14.8); sanaa na burudani (asilimia 11.2); na usafirishaji na uhifadhi mizigo (asilimia 8.7).
    URI
    http://repository.mof.go.tz/handle/123456789/175
    Collections
    • Books [10]

    Contact Us

    The United Republic of Tanzania

    Ministry of Finance and Planning

    Treasury Square Building 18 Jakaya Kikwete Road

    P.O.BOX 2802,40468 Dodoma.

    Email Address: library@hazina.go.tz

    Phone: +255 26 2160000

    Related Links

    IFM Repository
    CBE Repository
    IRDP Repository
    TIA Repository
    EASTC Repository

     

    Browse

    MoFP Repository Division & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Contact Us

    The United Republic of Tanzania

    Ministry of Finance and Planning

    Treasury Square Building 18 Jakaya Kikwete Road

    P.O.BOX 2802,40468 Dodoma.

    Email Address: library@hazina.go.tz

    Phone: +255 26 2160000

    Related Links

    IFM Repository
    CBE Repository
    IRDP Repository
    TIA Repository
    EASTC Repository