• EN/SW
  • LOGIN

Ministry of Finance

Repository

    View Item 
    •   MoF Repository
    • National Economic Survey
    • The Economic Survey
    • View Item
    •   MoF Repository
    • National Economic Survey
    • The Economic Survey
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2017

    Thumbnail
    View/Open
    Swahili-Full Text (3.529Mb)
    Date
    2017
    Author
    Tanzania, United Republic
    Metadata
    Show full item record
    Abstract
    Mwaka 2017, Pato la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.1ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7.0 mwaka 2016. Ukuaji huu ulitokana na utekelezaji wa miradi ya miundombinu ikiwemo miundombinu ya maji, nishati, barabara, reli na viwanja vya ndege sambamba na kuongezeka kwa uzalishaji wa baadhi ya madini kama almasi na makaa ya mawe na kuimarika kwa sekta ya kilimo. Katika kipindi hicho, shughuli za uchumi zilizokua kwa viwango vikubwa ni pamoja na: uchimbaji madini na mawe (asilimia 17.5); maji (asilimia 16.7); usafirishaji na uhifadhi mizigo (asilimia 16.6); habari na mawasiliano (asilimia 14.7); na ujenzi asilimia 14.1. Aidha, kasi ya ukuaji katika sekta ya kilimo ambayo inaajiri asilimia 66.3 ya kaya nchini na kuchangia asilimia 20 ya mauzo nje iliongezeka mwaka 2017 kufikia asilimia 3.6 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 2.1 mwaka 2016. Hata hivyo, kulikuwa na kasi ndogo ya ukuaji kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi kama vile huduma za fedha na bima, na utawala na ulinzi na utawala (asilimia 6.4)
    URI
    http://repository.mof.go.tz/handle/123456789/165
    Collections
    • The Economic Survey [29]

    Contact Us

    The United Republic of Tanzania

    Ministry of Finance

    Treasury Square Building 18 Jakaya Kikwete Road

    P.O.BOX 2802,40468 Dodoma.

    Email Address: library@hazina.go.tz

    Phone: +255 26 2160000

    Related Links

    IFM Repository
    CBE Repository
    IRDP Repository
    TIA Repository
    EASTC Repository

    The repository is Designed and Developed by Ministry of Finance Content Maintained by Ministry of Finance

    Copyright © 2022 MoFP, All Rights Reserved.

     

    Browse

    MoF Repository Division & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Contact Us

    The United Republic of Tanzania

    Ministry of Finance

    Treasury Square Building 18 Jakaya Kikwete Road

    P.O.BOX 2802,40468 Dodoma.

    Email Address: library@hazina.go.tz

    Phone: +255 26 2160000

    Related Links

    IFM Repository
    CBE Repository
    IRDP Repository
    TIA Repository
    EASTC Repository

    The repository is Designed and Developed by Ministry of Finance Content Maintained by Ministry of Finance

    Copyright © 2022 MoFP, All Rights Reserved.