Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2012 - 2013

Loading...
Thumbnail Image

Date

2012

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Wizara ya Fedha

Abstract

Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2012/13 unabainisha misingi, malengo, vipaumbele, mikakati ya utekelezaji, na changamoto zilizopo hivi sasa katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo. Aidha, Mpango umejikita katika kuwekeza kwenye maeneo ya kipaumbele ya kimkakati ambayo yataleta matokeo ya haraka katika ukuaji wa uchumi na kwa namna ambayo ni shirikishi.

Description

Keywords

Hali ya Uchumi, Mpango wa Maendeleo, Miradi ya Maendeleo, Mipango ya Taifa

Citation