Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2017 - 2018
Loading...
Date
2017
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Fedha
Abstract
Mpango wa Maendeleo wa Mwaka 2017/18 ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 na hivyo unaendelea kutekeleza maeneo manne ya kipaumbele ya: (i) Viwanda vya kukuza uchumi na
ujenzi wa msingi wa uchumi wa viwanda; (ii) Kufungamanisha maendeleo ya uchumi na watu; (iii) Mazingira wezeshi kwa uendeshaji biashara na uwekezaji; na (iv) Usimamizi wa utekelezaji. Aidha, lengo kuu la Mpango huu ni kuhakikisha rasilimali
na fursa za nchi zinatumika kujenga uchumi wa viwanda na kupunguza umaskini.
Description
Keywords
Hali ya Uchumi, Miradi ya Maendeleo, Mpango wa Maendeleo, Uchumi wa Taifa, Deni la Taifa, Pato la Taifa