The Ministry of Finance: Recent submissions
Now showing items 361-380 of 535
-
Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022/23
(Wizara ya Fedha na Uchumi, 2021)Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2021/22 umeandaliwa kwa mujibu wa Ibara ya 63 (3) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Bajeti, Sura 439. Mpango huu umeandaliwa kwa lengo la ... -
Hali ya Uchumi 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2016-17
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2016)Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa Mwaka 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2016/17. Pamoja na hotuba hii nawasilisha vitabu vya Taarifa ... -
Taarifa ya Hali ya Uchumi 2008 na Malengo katika Kipindi cha Muda wa Kati 2009 - 2012
(Wizara ya Fedha na Uchumi, 2008)Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likae kama Kamati ili liweze kupokea na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa katika kipindi cha mwaka 2008 na malengo katika kipindi cha Muda wa Kati ... -
The Foreign Exchange Regulations, Act (CAP. 271),2022
(Ministry of Finance and Planning, 2022)The Foreign Exchange Regulations, 2022 -
Public Procurement Ammendment_Act_2016
(Ministry of Finance and Planning, 2016)An Act to amend the Public Procurement Act with a view to enabling efficiency in regulating procurement process,to ensure value for money in public procurement and to provide for other related matters. -
Kanuni za Msamaha wa Riba ya Malimbikizo ya Kodi ya Pango la Ardhi za (Sura Ya 113) (Zimetengenezwa chini ya vifungu vya 33 (14) na 179),2022
(Wizara ya Fedha, 2022)Kanuni za Msamaha wa Riba ya Malimbikizo ya Kodi ya Pango la Ardhi za Mwaka Sheria ya Ardhi, (Sura Ya 113) (Zimetengenezwa chini ya vifungu vya 33 (14) na 179),2022 -
Kanuni za Marekebisho Ya Kanuni za Tozo ya Miamala ya Fedha ya Kielekitroniki za Mwaka,2022
(Wizara ya Fedha, 2022)Marekebisho ya Kanuni za Tozo ya Miamala ya Fedha ya Kielektroniki za Mwaka,2022 -
Kanuni za Huduma Ndogo za Fedha (Vikundi Vya Huduma Ndogo za Fedha Vya Kijamii) la Mwaka,2019
(Wizara ya Fedha, 2019)Kanuni Za Huduma Ndogo Za Fedha (Vikundi Vya Huduma Ndogo Za Fedha Vya Kijamii), -
Budget Process
(Ministry of Finance and Planning, 2021)Budget Process The budget process is actually about the annual budget cycle events and activities. Essentially it involves the determination of resources and their uses for attainment of government objectives. A sound ... -
Code of Ethics and Conduct for Public Officers and Tenders Engaging in Public Procurement,2021
(Ministry of Finance and Planning, 2021)The Public Procurement ACT, (CAP. 410) -
The Private Partnership Act, 2020
(Ministry of Finance and Planning, 2020)The Public Private Partnership Act,2020 -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali wa Mwaka 2021-22
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2021/22 unatoa maelekezo ya kuzingatiwa na Maafisa Masuuli wa Wizara, Idara Zinazojitegemea, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi na ... -
The Private Partnership Act,2020
(Ministry of Finance and Planning, 2020)The Public Private Partnership Act -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali wa Mwaka 2019-20 / 2021-22
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018)Sura hii inaeleza kwa ufupi utekelezaji wa Serikali katika mapato, matumizi, misaada na mikopo kwa mwaka 2017/18. Tathmini imefanyika kwa kulinganisha utekelezaji dhidi ya malengo katika kipindi husika. Kadhalika, mapitio ... -
Mradi wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Tanzania,2020
(Wizara Ya Fedha na Mipango, 2020)Serikali ya Tanzania (GoT) inatekeleza Miradi Ushirikiano wa Umma na Binafsi (PPPs)ili kujenga miundombinu na kuimarisha huduma za umma. Utekelezaji unaongozwana Sera ya Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP) ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022-23
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea ... -
National Public Private Partnership (PPP) Policy,2009
(Ministry of Finance, 2009)The Government recognizes the role of private sector in bringing about socio-economic development through investments. Public-Private Partnership (PPP) frameworks provide important instruments for attracting investments. ... -
Mwongozo wa Maandalizi na Mpango wa Bajeti kwa mwaka 2018 - 2019
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)Serikali imeendelea kufanya maboresho ya Sheria, mifumo ya malipo na mifumo ya uandaaji wa mipango na bajeti katika jitihada za kuboresha usimamizi wa fedha za umma na kuboresha utoaji wa huduma. -
National Microfinance Policy,2017
(Ministry of Finance, 2017)The United Republic of Tanzania has been undertaking financial sector reforms since 1990s, in which its implementation has gone through the First and Second Generation Financial Sector Reform programmes. The reforms have ... -
Guidelines for the Preparation of Plans and Budget for 2017-2018
(Ministry of Finance and Planning, 2016)The Plan and Budget Guidelines (PBG) is a Government instrument for the preparation and implementation of Government Budget, Public Entities‟ budget and National Development Plan for 2017/18. The PBG for 2017/18 guides ...