Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali wa Mwaka 2021-22
Abstract
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2021/22 unatoa maelekezo ya kuzingatiwa na Maafisa Masuuli wa Wizara, Idara Zinazojitegemea, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi na Mashirika ya Umma
wakati wa uandaaji na utekelezaji wa mpango na bajeti. Mwongozo wa mwaka 2021/22 umeandaliwa kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439
Collections
- Budget Guidelines [33]