Mradi wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Tanzania,2020
Abstract
Serikali ya Tanzania (GoT) inatekeleza Miradi Ushirikiano wa Umma na Binafsi (PPPs)ili kujenga miundombinu na kuimarisha huduma za umma. Utekelezaji unaongozwana Sera ya Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP) iliyoidhinishwa mwaka 2009,
Sheria ya PPP Sura ya 103 na Kanuni za PPP za 2020.