Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali wa Mwaka 2019-20 / 2021-22
Abstract
Sura hii inaeleza kwa ufupi utekelezaji wa Serikali katika mapato, matumizi, misaada na mikopo kwa mwaka 2017/18. Tathmini imefanyika kwa kulinganisha utekelezaji dhidi ya malengo katika kipindi husika. Kadhalika, mapitio yamefanyika kwa miradi michache inayoendelea na mipango mingine ya Serikali kwa kulinganisha matumizi halisi dhidi ya malengo yaliyowekwa pamoja na mafanikio yaliyopatikana katika kipindi hicho.
Collections
- Budget Guidelines [33]