Browsing Budget Guidelines by Author "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"
Now showing items 1-7 of 7
-
Mwongozo wa Kitaifa wa Ufatiliaji na Tathmini ya Miradi na Programu za Maendeleo.
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (2022-01)Wizara ya Fedha na Mipango ina jukumu la kusimamia na kuratibu shughuli za ufauatiliaji na Tathmini(U&T) ya utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya miradi na programu za maendeleo kitaifa, Aidha, Wizara, Taasisi za Umma ... -
Mwongozo wa Maandalizi na Mpango wa Bajeti kwa mwaka 2018 - 2019
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)Serikali imeendelea kufanya maboresho ya Sheria, mifumo ya malipo na mifumo ya uandaaji wa mipango na bajeti katika jitihada za kuboresha usimamizi wa fedha za umma na kuboresha utoaji wa huduma. -
Mwongozo Wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti Ya Serikali Kwa Mwaka,2020- 2021
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2020) -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali Kwa Mwaka 2023 - 2024
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2023/24 umeandaliwa kwa mujibu wa Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea vipaumbele ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022-23
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali wa Mwaka 2019-20 / 2021-22
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2018)Sura hii inaeleza kwa ufupi utekelezaji wa Serikali katika mapato, matumizi, misaada na mikopo kwa mwaka 2017/18. Tathmini imefanyika kwa kulinganisha utekelezaji dhidi ya malengo katika kipindi husika. Kadhalika, mapitio ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali wa Mwaka 2021-22
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2021/22 unatoa maelekezo ya kuzingatiwa na Maafisa Masuuli wa Wizara, Idara Zinazojitegemea, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi na ...