The Economic Survey
Permanent URI for this collectionhttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/18
Browse
Browsing The Economic Survey by Issue Date
Now showing 1 - 20 of 31
- Results Per Page
- Sort Options
Item Hali ya Uchumi wa Taifa,1987(Wizara ya Fedha, 1987) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKalika mwaka 1987, hali ya uchumi wa IBifa haiku wa 1ofau1i sana nailivyokuwa ka1ika mwaka 1986. Uzalishaji kwa jumla uliongezeka Zaidi kidogo na japokuwa bei kwa waslani zilicndelea kuwa za juu, upalikanaji wa bidhaa muhimu uliendelea kuwa nafuu ingawajc upungufu wa baadhi ya bidhaa bado uliendelca. Upandc wa hudum a muhimu, upungufu ulicndclca kulokana na uhaba wa vifaa vya kulolea huduma na pia upanukaji wa ha raka wa mah!IBji ya huduma zenyewc kulokana naongczcko la haraka la idadi ya walu.Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,1995(Wizara ya Fedha, 1995) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaPalo halisi la Taifa katika mwaka 1995 lilikua kwa kiwango cha asilimia 6.9kilinganislnva na ukuaji \Va asilimia 6.41nwaka 201 I. Ongezeko hili la ukuaj i lilitokana1a kuboreshwa kwa n1iundombinu ya usafirishaj i na ma\vasiliano parnoja na kuimarika,wa uzalishaji viwandani kutokana na jitihada za serikali za kuhakisha upatikanaji wa1meme wa uhakika sambamba na matumizi ya nishatmbadala katika uzalishajiItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,1998(Wizara ya Fedha, 1998) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMpangilio ambao u,nekuwa ukifuatwa ka1ika kua11daa ripoti ya Hali yaUchumi wa Taifa hadi mwaka 1997 ulianzisl11va mwaka 1970. Katika kipiruli hicho chore, hapakufanyika mabadiliko yoyote ya msingi katika mpangilio wa ripoti hiyoItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2001(Wizara ya Fedha, 2001) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKatika mwaka 200I, Pato halisi la Tai fa lilikua kwa asilimia 5.6ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 4.9 mwaka 2000. Ukuaji huu ulichangiwa zaidi na kukua kwa sekta za kilimo; bidhaa za viwanda; uuzaj i jumla, rejareja na ahoteli (i kijumuisha utalii); na uchukuzi na mawasiliano. Kiwango cha ukuaji wa sekta za ujenz.i; uchimbaji madini na mawe; uendeshaji serikali; umeme na maji; na fedha na huduma za bima kilishuka ikilinganishwa na ilivyokuwa mwaka 2000.Item Taarifa ya Hali ya Uchumi 2008 na Malengo katika Kipindi cha Muda wa Kati 2009 - 2012(Wizara ya Fedha na Uchumi, 2008) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likae kama Kamati ili liweze kupokea na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa katika kipindi cha mwaka 2008 na malengo katika kipindi cha Muda wa Kati (2009/10 – 2011/12). Pamoja na hotuba hii, nawasilisha Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa katika mwaka 2008; na Kitabu cha Mpango wa Maendeleo wa mwaka 2009/10.Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2008(Wizara ya Fedha, 2008) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKatika mwaka 2008, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia 7 .4 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7 .1 mwaka 2007. Ukuaji hu ulichangiwa zaidi na kuongezeka kwa viwango vya ukuaji katika shughuli za kiuchumi za kilimo; uvuvi; na huduma. Ukuaj i wa viwango vya juu ulijioneshakatika shughuli ndogo za kiuchumi za: mawasiliano (asilimia 20.5); fedha (asilimia 11.9); na uj enzi (asilimia 10.5). Hata hivyo, kiwango cha ukuaji katika shughuli za kiuchumi za viwanda na uj enzi kilipungua. Mchango wa shughuli za kiuchumi za huduma umeendelea kuongezeka katika mwaka 2008 ikilinganishwa na shughuli nyingine za kiuchumi.Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2010(Wizara ya Fedha, 2010) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKatika mwaka 2010, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia7.0 ikilinganishwa na ukuaji wa asili1nia 6.0 mwaka 2009. Ukuaji huu ulichangiwa zaidi na kuongezeka kwa viwango vya ukuaji katika shughuli za kiuchumi zenye mchango mkubwa katika pato la Taifa ikijumuisha kilimo;biashara na matengenezo; na ujenzi. Ukuaji wa viwango vya juu ulijionesha katika shughuli ndogo za kiuchumi za: mawasiliano (asilimia 22. 1 ); ujenzi(asilimia 10.2); un1eme na gesi (asili1nia 10.2); fedha (asilimia IO.I); nauzalishaji viwandani (asilimia 7.9).Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2010(Wizara ya Fedha, 2010) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKatika mwaka 2010, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia7.0 ikilinganishwa na ukuaji wa asili1nia 6.0 mwaka 2009. Ukuaji huu ulichangiwa zaidi na kuongezeka kwa viwango vya ukuaji katika shughuli za kiuchumi zenye mchango mkubwa katika pato la Taifa ikijumuisha kilimo;biashara na matengenezo; na ujenzi. Ukuaji wa viwango vya juu ulijionesha katika shughuli ndogo za kiuchumi za: mawasiliano (asilimia 22. 1 ); ujenzi(asilimia 10.2); un1eme na gesi (asili1nia 10.2); fedha (asilimia IO.I); nauzalishaji viwandani (asilimia 7.9).Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2011(Wizara ya Fedha, 2011) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKatika 1nwaka 2011, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilin1ia6.4 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7.0 mwaka 2010. Kiwango kidogo chaukuaji kilitokana na hali mbaya ya ukame iliyojitokeza katika sehemumbalin1bali nchini ambapo imeathiri sekta ya kilin10, pamoja na ukosefu wanishati ya umeme ya uhakika, ambayo ilisababisha kupungua kwa uzalishaji wa bidhaa za viwandani na shughuli nyingine zinazohitaji nishati.Item The National Economic Survey 2010(Ministry of Finance and Planning, 2011-08) Tanzania, United RepublicIn 2010, the real GDP grew by 7.0 percent compared to 6.0 percent in 2009. This growth resulted from increased growth rates in economic activities that have substantial contribution to GDP including agricultural; trade and repair; and construction. Economic activities that recorded the highest growth were: communication (22.1 percent); construction (10.2 percent); electricity and gas (10.2 percent); financial intermediation (10.1 percent) and manufacturing (7.9 percent). However, manufacturing and fishing were the only economic activities that recorded lower rates of growth in 2010 compared to 2009. The share of services; and industry and construction economic activities to overall GDP continued to increase in 2010 whereas that of agricultural activities declined, implying diversification of economic activities to other sectors.Item The Economic Survey 2011(Ministry of Finance and Planning, 2011-08) The United Republic of TanzaniaIn 2011, real Gross Domestic Product (GDP) grew by 6.4 percent compared to 7.0 percent in 2010. The slowdown in growth was a result of drought in different parts of the country, which affected agricultural sector and power supply which eventually affected industrial production and other sectors that depends on electricity.Item Hali ya Uchumi Katika Mwaka,2012(Wizara ya Fedha, 2012) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaPalo halisi la Taifa katika mwaka 2012 lilikua kwa kiwango cha asilimia 6.9kilinganislnva na ukuaji \Va asilimia 6.41nwaka 201 I. Ongezeko hili la ukuaj i lilitokana1a kuboreshwa kwa n1iundombinu ya usafirishaj i na ma\vasiliano parnoja na kuimarika,wa uzalishaji viwandani kutokana na jitihada za serikali za kuhakisha upatikanaji wa1meme wa uhakika sambamba na matumizi ya nishatmbadala katika uzalishajiItem The Economic Survey 2012(Ministry of Finance and Planning, 2012-08) The United Republic of TanzaniaIn 2012, real Gross Domestic Product (GDP) grew by 6.9 percent compared to 6.4 percent in 2011. The growth was a result of improved transport and communication infrastructures; improved industrial production following Government’s effort to ensure reliable power supply; as well as the use of alternative power sources for industrial production. In addition, the growth was on account of improved agricultural sector following favourable weather condition as well as Government efforts to timely supply subsidies on improved seeds and fertilizers.Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2013(Wizara ya Fedha, 2013) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwaka 2013, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia 7.0ikilinganishwa na ukuaj i wa asilimia 6.9 mwaka 20 12. Ukuaj i huu ulitokana nakuimarika kwa sekta zinazochangia Pato la Taifa kwa kiasi kikubwa hususansekta za kilimo, uj enzi na biashara. Ukuaj i wa viwango vya juu ulijionesha katika shughuli ndogo za kiuchutni za: mawasiliano (asilimia 22.8); fedha(asilimia 12.2); uj enzi (asilimia 8.6); na biashara (asilimia 8.3).Item Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2015(Wizara ya Fedha na Mipango, 2015) Tanzania, United RepublicItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2016(Wizara ya Fedha, 2016) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwaka 20 I 6, Pato Ia Taifa I i likua kwa wastan i wa as il imia 7.0, sawa nai l ivyokuwa 1nwaka 20 1 5 . Ukuaji huu wa uchu1ni u l itokana na: kuongezeka kwaufuaj i wa u111eme hususan utokanao na gesi asilia; kLtongezeka kwa uzalishaj iviwandani; kui111arika kwa huduma za usafirishaj i; na kuongezeka kwa uandikishaj i wa wanafunzi kufuatia kuanza kwa sera ya Serikali ya kutoa elimu msingi bure il iyoanza Januari 20 I 6. Katika kipindi hicho, shughuli za uchumizil izokua kwa viwango vikubwa ni pa1noja na: ujenzi asilimia 1 3 .0; habari na mawasil iano (asilimia l 3.0); usafirishaj i na uhifadhi mizigo (asilimia 1 1 .8 ); na uchimbaj i madini na mawe (asilimia I 1 .5).Item Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2016(Wizara ya Fedha na Mipango, 2016) Tanzania, United RepublicMwaka 2016, Pato la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.0, sawa na ilivyokuwa mwaka 2015. Ukuaji huu wa uchumi ulitokana na: kuongezeka kwa ufuaji wa umeme hususan utokanao na gesi asilia; kuongezeka kwa uzalishaji viwandani; kuimarika kwa huduma za usafirishaji; na kuongezeka kwa uandikishaji wa wanafunzi kufuatia kuanza kwa sera ya Serikali ya kutoa elimu msingi bure iliyoanza Januari 2016. Katika kipindi hicho, shughuli za uchumi zilizokua kwa viwango vikubwa ni pamoja na: ujenzi asilimia 13.0; habari na mawasiliano (asilimia 13.0); usafirishaji na uhifadhi mizigo (asilimia 11.8); na uchimbaji madini na mawe (asilimia 11.5). Aidha, shughuli za kiuchumi za kilimo zilikua kwa kasi ndogo ya asilimia 2.1 mwaka 2016 ikilinganishwa na asilimia 2.3 mwaka 2015 kutokana na kutokuwa na mvua za kutosheleza katika msimu wa kilimo wa 2015/16.Item Hali ya Uchumi 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2016-17(Wizara ya Fedha na Mipango, 2016) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa Mwaka 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2016/17. Pamoja na hotuba hii nawasilisha vitabu vya Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa Mwaka 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2016/17. Taarifa ya Hali ya Uchumi na Mpango ninayowasilisha ndio msingi wa bajeti ya Serikali kwa mwaka 2016/17Item Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2017(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017) Tanzania, United RepublicMwaka 2017, Pato la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.1ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7.0 mwaka 2016. Ukuaji huu ulitokana na utekelezaji wa miradi ya miundombinu ikiwemo miundombinu ya maji, nishati, barabara, reli na viwanja vya ndege sambamba na kuongezeka kwa uzalishaji wa baadhi ya madini kama almasi na makaa ya mawe na kuimarika kwa sekta ya kilimo. Katika kipindi hicho, shughuli za uchumi zilizokua kwa viwango vikubwa ni pamoja na: uchimbaji madini na mawe (asilimia 17.5); maji (asilimia 16.7); usafirishaji na uhifadhi mizigo (asilimia 16.6); habari na mawasiliano (asilimia 14.7); na ujenzi asilimia 14.1. Aidha, kasi ya ukuaji katika sekta ya kilimo ambayo inaajiri asilimia 66.3 ya kaya nchini na kuchangia asilimia 20 ya mauzo nje iliongezeka mwaka 2017 kufikia asilimia 3.6 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 2.1 mwaka 2016. Hata hivyo, kulikuwa na kasi ndogo ya ukuaji kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi kama vile huduma za fedha na bima, na utawala na ulinzi na utawala (asilimia 6.4)Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2018(Wizara ya Fedha, 2018) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwaka 20 18, Serikali kupitia Ofisi ya Tai fa ya Takwimu ilifanya maboreshoya tak,vimu za Pato la Taifa kwa kutun1ia mwaka 20 15 kama mwaka wa kiziokutoka mwaka wa kizio wa 20.07. Kufuatia maboresho hayo, mabadiliko kadhaayalijitokeza ikiwemo mfu1no na ukubwa wa Pato la Taifa; viwango vya ukuajina 1nchango wa sekta mbali1nbali katika Pato la Taifa; na uwiano v.1a viashiria1nbalimbali kwa Pato la Taifa. Maelezo ya kina kuhusu maboresho hayo yako .katika sura ya kurni