Hali ya Uchumi wa Taifa,1987

Loading...
Thumbnail Image

Date

1987

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Wizara ya Fedha

Abstract

Kalika mwaka 1987, hali ya uchumi wa IBifa haiku wa 1ofau1i sana nailivyokuwa ka1ika mwaka 1986. Uzalishaji kwa jumla uliongezeka Zaidi kidogo na japokuwa bei kwa waslani zilicndelea kuwa za juu, upalikanaji wa bidhaa muhimu uliendelea kuwa nafuu ingawajc upungufu wa baadhi ya bidhaa bado uliendelca. Upandc wa hudum a muhimu, upungufu ulicndclca kulokana na uhaba wa vifaa vya kulolea huduma na pia upanukaji wa ha raka wa mah!IBji ya huduma zenyewc kulokana naongczcko la haraka la idadi ya walu.

Description

Keywords

Vyazo vya mapato, Uchumi

Citation