Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2008

Loading...
Thumbnail Image

Date

2008

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Wizara ya Fedha

Abstract

Katika mwaka 2008, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia 7 .4 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7 .1 mwaka 2007. Ukuaji hu ulichangiwa zaidi na kuongezeka kwa viwango vya ukuaji katika shughuli za kiuchumi za kilimo; uvuvi; na huduma. Ukuaj i wa viwango vya juu ulijioneshakatika shughuli ndogo za kiuchumi za: mawasiliano (asilimia 20.5); fedha (asilimia 11.9); na uj enzi (asilimia 10.5). Hata hivyo, kiwango cha ukuaji katika shughuli za kiuchumi za viwanda na uj enzi kilipungua. Mchango wa shughuli za kiuchumi za huduma umeendelea kuongezeka katika mwaka 2008 ikilinganishwa na shughuli nyingine za kiuchumi.

Description

Keywords

Hali ya uchumi, Vyazo vya mapato

Citation