Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2017 - 2018

dc.contributor.authorJamhuri ya Muungano wa Tanzania
dc.date.accessioned2023-07-18T11:49:34Z
dc.date.available2023-07-18T11:49:34Z
dc.date.issued2017
dc.description.abstractMpango wa Maendeleo wa Mwaka 2017/18 ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 na hivyo unaendelea kutekeleza maeneo manne ya kipaumbele ya: (i) Viwanda vya kukuza uchumi na ujenzi wa msingi wa uchumi wa viwanda; (ii) Kufungamanisha maendeleo ya uchumi na watu; (iii) Mazingira wezeshi kwa uendeshaji biashara na uwekezaji; na (iv) Usimamizi wa utekelezaji. Aidha, lengo kuu la Mpango huu ni kuhakikisha rasilimali na fursa za nchi zinatumika kujenga uchumi wa viwanda na kupunguza umaskini.en_US
dc.identifier.urihttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/559
dc.publisherWizara ya Fedhaen_US
dc.subjectHali ya Uchumien_US
dc.subjectMiradi ya Maendeleoen_US
dc.subjectMpango wa Maendeleoen_US
dc.subjectUchumi wa Taifaen_US
dc.subjectDeni la Taifaen_US
dc.subjectPato la Taifaen_US
dc.titleMpango wa Maendeleo wa Taifa 2017 - 2018en_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2017-2018.pdf
Size:
2.27 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Swahili - Text

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: