Bajeti ya Serikali Toleo la Mwananchi 2025-26.
No Thumbnail Available
Date
2025-08
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Fedha
Abstract
Bajeti ya Serikali ni mpango wa kifedha unaoandaliwa kwa kipindi cha mwaka mmoja unaoonesha mapato na matumizi yanayotarajiwa. Kupitia bajeti, Serikali huorodhesha vyanzo vya mapato vya ndani kama kodi na vyanzo vya mapato vya nje ikiwemo misaada na mikopo. Vilevile, Serikali hupanga kutumia mapato yatakayokusanywa kutoka katika vyanzo vyake vya mapato ili kugharamia utoaji wa huduma muhimu kwa wananchi ikiwemo elimu, afya, maji na miundombinu ya barabara.
Description
Keywords
Bajeti ya Wananchi