Hazina Yetu - Toleo la Pili 2024-2025
Abstract
Karibu mjisomee Jarida la Hazina Yetu la robo ya pili ya utekelezaji wa Bajeti ya mwaka wa Fedha 2024/2025, Kuanzia mwezi September hadi Desemba,2024, Tunalolitoa katika mfumo wa nakala laini na nakala ngumu, na kuandaliwa na kuzalishwa na kitengo cha mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha
Kwenye toleo hili tunawaletea Makala mbalimbali na taarifa muhimu na za kina kuhusu Elimu ya Fedha inayotolewa na Serkali kupitia Wizara yetu na Taasisi zake kwa wananchi ili kuongeza uelewa wa masuala ya Kifedha na kukuza ushiriki wa kila mmoja katika uchumi rasmi. Pia, tunaangazia sekta ya Ununuzi na Ugavi, Ikiwa ni mhimili muhimu wa usimamizi wa rasimali za umma kwa uwazi na ufanisi.
Collections
- MoF Journals [2]