MoF Journals
Permanent URI for this collectionhttp://10.1.67.219/handle/123456789/800
Browse
Recent Submissions
Item Hazina Yetu ; Toleo la Tatu Mwaka 2024-2025(Wizara ya Fedha, 2025-04) Jamhuri ya Muungano ya TanzaniaNi furaha ya kipekee kuwakaribisha katika Tolea la Tatu la Jarida la Hazina Yetu kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Toleo hili limeandaliwa likijumuisha maudhui ya Kipekee yanayoangazia mafanikio,changamoto na mwelekeo wa Wizara ya Fedha katika kipindi cha Januari hadi Machi 2025.Item Hazina Yetu : Special Edition(Ministry of Finance, 2025-04) The United Republic of TanzaniaRemarks by Hon.Dr. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (MP) The Minister for Finance, During the conferral of a Honorary Doctorate Degree (Honoris Causa) to Dr. Akinwumi Ayodeji Adesina, President of the African Development Bank Group at the University of Dar es Salaam.Item Hazina Yetu - Toleo la Pili 2024-2025(2024) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKaribu mjisomee Jarida la Hazina Yetu la robo ya pili ya utekelezaji wa Bajeti ya mwaka wa Fedha 2024/2025, Kuanzia mwezi September hadi Desemba,2024, Tunalolitoa katika mfumo wa nakala laini na nakala ngumu, na kuandaliwa na kuzalishwa na kitengo cha mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha Kwenye toleo hili tunawaletea Makala mbalimbali na taarifa muhimu na za kina kuhusu Elimu ya Fedha inayotolewa na Serkali kupitia Wizara yetu na Taasisi zake kwa wananchi ili kuongeza uelewa wa masuala ya Kifedha na kukuza ushiriki wa kila mmoja katika uchumi rasmi. Pia, tunaangazia sekta ya Ununuzi na Ugavi, Ikiwa ni mhimili muhimu wa usimamizi wa rasimali za umma kwa uwazi na ufanisi.Item Hazina Yetu(2024) United Republic, TanzaniaKaribu ujisomee Jarida la Hazina Yetu la Wizara ya Fedha, liliko katika mfumo wa nakala laini na nakala ngumu, linaloandaliwa na na kuzalishwa na Kitengo cha Mawasi- liano Serikalini, Wizara ya Fedha.