Taarifa Fupi ya Kisera 2020
Abstract
Chapisho hili linatoa matokeo ya utafiti wa ufanisi wa mifuko na programu za serikali za uwezeshaji wananchi kiuchumi zinazolenga wajasiriamali wadogo na wakati. Utafiti ulifanywa kubainisha mifuko na programu zilizopo, malengo yake, huduma zitole wazo na changamoto za kufikia malengo.