Microfinance Policy
Permanent URI for this collectionhttp://10.1.67.219/handle/123456789/388
Browse
Recent Submissions
Item Taarifa Fupi ya Kisera, 2022(Wizara ya Fedha, 2024-06) United Republic, TanzaniaSekta ndogo ya benki ni muhimu katika kutoa huduma mbalimbali ikiwemo kupokea na kutunza amana za wateja, kutoa mikopo kwa ajili ya shughuli za kiuchumi na kijamii na kuwezesha malipo mbalimbali. Sekta ya Benki nchini inaundwa na benki za biashara, benki za kijamii, benki za huduma ndogo za fedha, na benki za maendeleo. Sekta Ndogo ya Benki inaunda sehemu kubwa ya sekta ya fedha a mbapo hadi kufikia Desemba 2020 ilikuwa inakadiri wa kuchangia asilimia 70 ya mali za sekta ya fedha. Kutokana na sekta ndogo ya benki kuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini, Serikali imeku wa ikifanya maboresh o yakiwemomaboresho ya kwanza ( 1991- 2003) na ya pili ( 2006) ya sekta ya fedha ambayo yalilenga kuwezesha upatikanaji na utumiaji wa huduma za benki chini. Maboresho hayo yalisaidia kukua kwa sekta ndogo ya benki kulikochangi wanakuongeza kwa idadi ya taasisi za benki na kufikia 46 mwaka 2021 kutoka benki 10 miaka ya 1990.Item Taarifa Fupi ya Kisera 2020(Wizara ya Fedha, 2022) Jamhuri ya Muungano, TanzaniaChapisho hili linatoa matokeo ya utafiti wa ufanisi wa mifuko na programu za serikali za uwezeshaji wananchi kiuchumi zinazolenga wajasiriamali wadogo na wakati. Utafiti ulifanywa kubainisha mifuko na programu zilizopo, malengo yake, huduma zitole wazo na changamoto za kufikia malengo.Item Sera ya Taifa ya Huduma Ndogo ya Fedha ya Mwaka 2017(Wizara ya Fedha, 2017) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem National Microfinance Policy 2017 Implementation Strategy for The Period 2017/18 – 2027/28, 2017(Ministry of Finance, 2017) The United Republic of TanzaniaFor the National Microfinance Policy 2017 to be implemented effectively, it requires an elaborate implementation strategy. This implementation strategy calls for the NMP 2017 objectives and policy statements to be accorded key priorities so that they are achievable within a time frame of 10 years from 2017 – 2027.Item National Microfinance Policy,2017(Ministry of Finance, 2017) The United Republic of TanzaniaThe United Republic of Tanzania has been undertaking financial sector reforms since 1990s, in which its implementation has gone through the First and Second Generation Financial Sector Reform programmes. The reforms have been geared at liberalizing the financial sector, with a view to strengthening the financial market structure. Consequently, they have led to significant changes in the financial sector landscape, including increased participation of microfinance service providers.