Government Budget Speeches
Browse by
Recent Submissions
-
Hotuba ya Mhe. Waziri wa Fedha Akiwasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti Ya Serikali Kwa Mwaka 2024/2025
(Wizara ya Fedha, 2024-03)Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda kutumia nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia afya njema na kuniwezesha kuwasilisha mbele ya Bunge lako Tukufu Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2024/2025. -
Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka 2024-2025
(Wizara ya Fedha, 2024-06)Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2024/25. Bajeti hii inawasilishwa kwa mujibu wa Ibara ya 137 ya ... -
Hotuba ya Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Prof.Kighoma A.Malima, Mbunge, wakati akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka, 1993-1994
(Wizara ya Fedha, 1993)Mheshimiwa Spika, torehe 17 Juni Mwaka huu niliwasilisha mbele ya Bunge lako tukufu Bajeti ya Serikalj kwa Jumla kwa mwaka 1993/94, Bajeti hiyo ndiyo imekuwa msingi wa Bunge hill kuchambua, kujadili, na hatimaye kuidhinisha ... -
Speech by the Hon. of the Ministry of Finance introducing the estimates of revenue and expenditurefor the year 1969-70
(Ministry of Finance, 1969-06-19)