Government Budget Speeches
Permanent URI for this collectionhttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/61
Browse
Browsing Government Budget Speeches by Title
Now showing 1 - 20 of 64
- Results Per Page
- Sort Options
Item Government Budget for the year 2021-2022(Ministry of Finance and Planning, 2021) Tanzania, The United RepublicHonourable Speaker, I beg to move that your esteemed House resolves to receive, debate and approve the Government’s Revenue and Expenditure Estimates for the financial year 2021/22. This speech presents the first national budget of the Sixth Phase Government under the leadership of Her Excellency Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania. The Estimates of the Government Revenue and Expenditure are submitted to your esteemed House in accordance with Article 137 of the Constitution of the United Republic of Tanzania of 1977; Section 23 (3) of the Budget Act, CAP 439; and Article 124 (4) of the Standing Orders of Parliament, June 2020 Edition.Item Hotuba wa Waziri wa Fedha Mh.Prof. Kighoma A.Malima akiwasilisha bungeni mapandekezo ya Serikali kuhusu makadirio na mapato na matumizi kwa mwaka 1993/94(Ministry of Finance, 1993-06) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Waziri Wa Fedha Uchumi na Mipango Ndugu C.D.Msuya akiwasilisha mapendekezo ya Serikali kuhusu Mpango wa maendeleo na makadirio ya mapato na matumizi na matumizi ya Serikali kwa mwaka 1986-87(Ministry of Finance, 1986-06) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali 2006 -07(Ministry of Finance and Planning, 2006) Tanzania, The United RepublicItem Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali 2008 - 2009(Wizara ya Fedha na Mipango, 2008) Tanzania, The United RepublicMheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2008/09. Pamoja na hotuba hii, vipo vitabu vinne vinavyoelezea kwa kina takwimu za bajeti. Kitabu cha Kwanza kinahusu makisio ya mapato. Kitabu cha Pili na cha Tatu ni vya makisio ya matumizi ya kawaida kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Mikoa na Halmashauri za Miji na Wilaya. Kitabu cha Nne kinaelezea makadirio ya matumizi ya maendeleo kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Mikoa, pamoja na Halmashauri. Aidha, upo Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2008, ambao ni sehemu ya bajeti hii.Item Hotuba ya Bajeti kuu ya Serikali ya Makadilio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka 2006-2007(Wizara ya Fedha na Mipango, 2006-06) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoMheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge likubali kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2006/2007. Pamoja na hotuba hii, vimetayarishwa vitabu vinne vinanyoelezea kwa kina takwimu za bajeti. Kitabu cha kwanza kinahusu makasio ya mapato, kitabu cha pili na cha tatu vina makisio ya matumizi ya kawaida kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Mikoa na Halmashauri za Miji na Wilaya. Kitabu cha Nne kinaelezea makadirio ya matumizi ya maendeleo kwa Wizara, Idara na Mikoa pamoja na Halmashauri. Aidha, upo Muswada wa sheria ya Fedha na mwaka 2006/2007 ambao ni sehemmu ya bajeti hii.Item Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka 2024-2025(Wizara ya Fedha, 2024-06) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoMheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2024/25. Bajeti hii inawasilishwa kwa mujibu wa Ibara ya 137 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ikisomwa pamoja na Kifungu cha 23 (3) cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kifungu cha 124 (4) cha Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la Februari 2023.Item Hotuba ya Mhe. Waziri wa Fedha Akiwasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti Ya Serikali Kwa Mwaka 2024/2025(Wizara ya Fedha, 2024-03) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoMheshimiwa Mwenyekiti, napenda kutumia nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia afya njema na kuniwezesha kuwasilisha mbele ya Bunge lako Tukufu Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2024/2025.Item Hotuba ya Mwl.Juliua K. Nyerere 25,SEP 1980(Wizara ya Fedha, 25/09/1980) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Rais Ally Hassan Mwinyi 1987,kuhusu Hali ya Uchumu Wetu(Wizara ya Fedha, 1987-05) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Rais Mwalimu Julius K. Nyerere aliyotoa siku ya mashujaa 1979-MAPAMBANO YANAENDELEA(Wizara ya Fedha, 01/09/1979) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Rais Mwalimu Julius K. Nyerere 1984, Semina ya Elimu Arusha(Wizara ya Fedha, 22/10/1984) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Rais Mwalimu Julius K. Nyerere aliyotoa siku ya mashujaa 1979(Wizara ya Fedha, 01/09/1979) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh. Daniel Yona akiwasilisha mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka 1998 - 1999(Wizara ya Fedha, 11/06/1998) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh. C.D.Msuya (Mb) akiwasilisha bungeni mapandekezo ya matumizi ya Wizara ya Fedha,Uchumi na Mipango kwa mwaka 1987-88(Wizara ya Fedha, 1987-06) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh. C.D.Msuya(Mb) akiwasilisha bungeni makadirio ya matumizi ya Wizara ya Fedha ,Uchumi na Mipango kwa mwaka 1986-87(Wizara ya Fedha, 1986-06) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh. Jakaya M.Kikwete(Mb) katika mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka 1995-1996(Wizara ya Fedha, 15/06/1995) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh. Kighoma Malima (Mb) akiwasilisha mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato ya Serikali kwa mwaka 1992-93(Wizara ya Fedha, 18/06/1992) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh.A.H Jamal (Mb) akiwasilisha bungeni mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 1976-77(Wizara ya Fedha, 17/06/1976) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh.A.H Jamal (Mb) akiwasilisha bungeni mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 1982-83(Wizara ya Fedha, 17/06/1982) Tanzania, Jamhuri ya Muungano