Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka 2024-2025
Loading...
Date
2024-06
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Fedha
Abstract
Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2024/25. Bajeti hii inawasilishwa kwa mujibu wa Ibara ya 137 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ikisomwa pamoja na Kifungu cha 23 (3) cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kifungu cha 124 (4) cha Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la Februari 2023.
Description
Keywords
Hotuba ya Bajeti, Bajeti Kuu ya Serikali