Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2017 - 2018
dc.contributor.author | Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | |
dc.date.accessioned | 2023-07-18T11:49:34Z | |
dc.date.available | 2023-07-18T11:49:34Z | |
dc.date.issued | 2017 | |
dc.identifier.uri | https://repository.mof.go.tz/handle/123456789/559 | |
dc.description.abstract | Mpango wa Maendeleo wa Mwaka 2017/18 ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 na hivyo unaendelea kutekeleza maeneo manne ya kipaumbele ya: (i) Viwanda vya kukuza uchumi na ujenzi wa msingi wa uchumi wa viwanda; (ii) Kufungamanisha maendeleo ya uchumi na watu; (iii) Mazingira wezeshi kwa uendeshaji biashara na uwekezaji; na (iv) Usimamizi wa utekelezaji. Aidha, lengo kuu la Mpango huu ni kuhakikisha rasilimali na fursa za nchi zinatumika kujenga uchumi wa viwanda na kupunguza umaskini. | en_US |
dc.publisher | Wizara ya Fedha | en_US |
dc.subject | Hali ya Uchumi | en_US |
dc.subject | Miradi ya Maendeleo | en_US |
dc.subject | Mpango wa Maendeleo | en_US |
dc.subject | Uchumi wa Taifa | en_US |
dc.subject | Deni la Taifa | en_US |
dc.subject | Pato la Taifa | en_US |
dc.title | Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2017 - 2018 | en_US |
dc.type | Book | en_US |