Budget Guidelines

Permanent URI for this collectionhttp://10.1.67.219/handle/123456789/751

Browse

Recent Submissions

Now showing 1 - 20 of 36
  • Item
    Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2025-2026
    (Ministry of Finance, 2024-12) The United Republic of Tanzania
    Sura hii inaelezea mwenendo wa hali ya uchumi wa dunia, kikanda na Tanzania kwa mwaka 2023 na mwelekeo wa uchumi katika kipindi cha mwaka 2024 hadi mwaka 2025, deni la Serikali pamoja na mapitio ya ukusanyaji wa mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka 2023/24 na utekelezaji wa bajeti kwa robo ya kwanza ya mwaka 2024/25.
  • Item
    Plan and Budget Guideline for 2024-2025
    (Ministry of Finance, 2023-12) The United Republic of Tanzania
    The government budget will continue to focus on priority areas stipulated in the short, medium and long-term development plans. In the medium term, the government will implement the priorities outlined in the National Five-Year Development Plan 2021/22 – 2025/26 which are categorized into five areas: realizing an inclusive and competitive economy; deepening industrialization and service provision; investment and trade promotion; human development; and skills development. In addition, the flagship projects have been given special priority because of their multiplier effects on the economy and community
  • Item
    Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2024-2025
    (Wizara ya Fedha, 2023-11) The United Republic of Tanzania
    Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439. Mwongozo wa mwaka 2024/25 ni wa nne (4) katika utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26. Pamoja na mambo mengine, maandalizi ya Mwongozo huu yamezingatia: Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu ya Mwaka 2020; Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2021/22 – 2025/26); maelekezo mahsusi ya Serikali; na Agenda ya Afrika 2063. Lengo la Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali ni kutoa maelekezo kuhusu maandalizi ya Bajeti ya mwaka 2024/25 kwa Maafisa Masuuli wote kuandaa mipango yao na bajeti kwa kuzingatia vipaumbele vya kitaifa na kisekta pamoja na Sheria za Nchi, Kanuni, Nyaraka na Miongozo mbalimbali ya Kisekta na Serikali kwa ujumla.
  • Item
    Mwongozo Wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti Ya Serikali Kwa Mwaka,2020- 2021
    (Wizara ya Fedha, 2020) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Item
    Mwongozo wa Kitaifa wa Ufatiliaji na Tathmini ya Miradi na Programu za Maendeleo.
    (2022-01) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
    Wizara ya Fedha na Mipango ina jukumu la kusimamia na kuratibu shughuli za ufauatiliaji na Tathmini(U&T) ya utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya miradi na programu za maendeleo kitaifa, Aidha, Wizara, Taasisi za Umma na Mamlaka za Serikali za Mitaa zina jukumu la kutekeleza shughuli za ufuatiliaji na Tathmini ya miradi na programu za kimaendeleo zinazotekelezwa na taasisi hizo katika maeneo husika. Hata hivyo, Uratibu wa shughuri za ufauatiliaji na tathamini wa miradi na programu za kimaendeleo umekuwa na changamoto mbalimbali zikiwemo: Miradi mingi kutokufanyiwa ufuatiliaji na tathmini, Kukosekana kwa taarifaza utekelezaji wa miradi na programu za maendeleo, kukosekana kwa uwajibikaji katika ufuatiliaji na tathmini ya miradi na programu za maendeleo na Serikali kukosa taarifa na takwimu zenye ubora na kwa wakati kwa ajili ya kufanya maamuzi
  • Item
    Targeted Financial Sanctions Guideline,2022
    (Ministry of Finance, 2022) Tanzania, United Republic
    This guideline is designed to help you conduct money laundering and financing risks assessment
  • Item
    Budget Process
    (Ministry of Finance and Planning, 2021) The United Republic of Tanzania
    Budget Process The budget process is actually about the annual budget cycle events and activities. Essentially it involves the determination of resources and their uses for attainment of government objectives. A sound budget serves as a tool for economic and financial management and accountability and also serves as a mechanism for allocation resources among different needs and priorities as well as bringing economic stability and growth.
  • Item
    Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali wa Mwaka 2021-22
    (Wizara ya Fedha na Mipango, 2021) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
    Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2021/22 unatoa maelekezo ya kuzingatiwa na Maafisa Masuuli wa Wizara, Idara Zinazojitegemea, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi na Mashirika ya Umma wakati wa uandaaji na utekelezaji wa mpango na bajeti. Mwongozo wa mwaka 2021/22 umeandaliwa kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439
  • Item
    Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali wa Mwaka 2019-20 / 2021-22
    (Wizara ya Fedha na Mipango, 2018) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
    Sura hii inaeleza kwa ufupi utekelezaji wa Serikali katika mapato, matumizi, misaada na mikopo kwa mwaka 2017/18. Tathmini imefanyika kwa kulinganisha utekelezaji dhidi ya malengo katika kipindi husika. Kadhalika, mapitio yamefanyika kwa miradi michache inayoendelea na mipango mingine ya Serikali kwa kulinganisha matumizi halisi dhidi ya malengo yaliyowekwa pamoja na mafanikio yaliyopatikana katika kipindi hicho.
  • Item
    Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022-23
    (Wizara ya Fedha na Mipango, 2021) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
    Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea nyaraka za kitaifa ikiwemo Sera na Mipango, Sheria, Miongozo na Waraka mbalimbali za Serikali pamoja na makubaliano ya kikanda na kimataifa yaliyoridhiwa na Tanzania. Baadhi ya nyaraka zilizorejewa ni pamoja na: Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025; Mpango wa Maendeleo wa Taifa (2021/22–2025/26); Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020; Mpango Kazi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara; Mpango Mkuu wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha (2020/21 -2029/30); Sheria ya Bajeti, Sura 439; Sheria ya Madeni, Dhamana na Misaada, Sura 134; Sheria ya Fedha za Umma, Sura 348; Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410; Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa Awamu ya Tatu; Mwongozo wa Ushirikiano wa Maendeleo; Agenda ya Afrika Mashariki 2050; Agenda ya Afrika 2063; na Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030.
  • Item
    Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali Kwa Mwaka 2023 - 2024
    (Wizara ya Fedha na Mipango, 2022) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
    Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2023/24 umeandaliwa kwa mujibu wa Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea vipaumbele vilivyoainishwa kwenye dira, sera, mikakati na miongozo ya maendeleo kitaifa na kimataifa. Nyaraka zilizorejewa ni pamoja na: Mpango wa Maendeleo wa Taifa (2021/22 – 2025/26); Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020; Mpango Kazi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara; Mpango Mkuu wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha (2020/21 -2029/30); Sheria ya Bajeti, Sura 439; Sheria ya Madeni, Dhamana na Misaada, Sura 134; Sheria ya Fedha za Umma, Sura 348; Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410; Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa Awamu ya Tatu; Mwongozo wa Ushirikiano wa Maendeleo; Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030; Agenda ya Afrika Mashariki 2050; Dira ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika 2050; na Agenda ya Afrika 2063.
  • Item
    Mwongozo wa Maandalizi na Mpango wa Bajeti kwa mwaka 2018 - 2019
    (Wizara ya Fedha na Mipango, 2017) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
    Serikali imeendelea kufanya maboresho ya Sheria, mifumo ya malipo na mifumo ya uandaaji wa mipango na bajeti katika jitihada za kuboresha usimamizi wa fedha za umma na kuboresha utoaji wa huduma.
  • Item
    Guidelines for the Preparation of Plans and Budget for 2017-2018
    (Ministry of Finance and Planning, 2016) Tanzania, United Republic
    The Plan and Budget Guidelines (PBG) is a Government instrument for the preparation and implementation of Government Budget, Public Entities‟ budget and National Development Plan for 2017/18. The PBG for 2017/18 guides mobilization and allocation of financial resources for the implementation of Annual Development Plan which is the second in the series of five annual plans for the implementation of the second Five Year Development Plan (2016/17 - 2020/21). The PBG has been prepared pursuant to Section 21 of the Budget Act No. 11 of 2015 and its Regulations.
  • Item
    Guidelines for the Preparation of Medium Term Plan and Budget Framework for 2015-16
    (Ministry of Finance and Planning, 2015) Tanzania, United Republic
    The Plan and Budget Guidelines (PBG) for 2015/16 is the fifth and final in implementing the Five Year Development Plan (FYDP) 2011/12-2015/16 and also mark the end of MKUKUTA II and the 2010-2015 ruling Party Election Manifesto of the Fourth Phase Government. Therefore, the Government priorities among others will focus on preparations of successor strategy, completing unfinished development programmes and conducting the National General Election of 2015. These events together with the Local Government Election of December 2014 will have significant impact on the coming budget and require proper alignment of priorities and resources so as to ensure budget execution in an efficient manner to achieve desired results.
  • Item
    Guidelines for the Preparation of Medium Term Plan and Budget Framework for 2008-09 2010 - 2011 Part I
    (Ministry of Finance and Planning, 2008) Tanzania, United Republic
    These Guidelines for the Preparation of the Medium-Term Plan and Budget Framework for 2008/09 – 2010/11 are developed to guide MDAs and LGAs in preparing their MTEFs. They translate policies set in the Development Vision 2025, MKUKUTA, Ruling Party 2005 Election Manifesto, and other sectoral policies into financeable medium-term interventions. For 2008/09, the Government will continue to implement the priority areas identified in 2007/08. In this respect, the expenditure framework will focus on pro-growth areas of the economy; social service delivery, and to consolidate the gains achieved so far.
  • Item
    Guidelines for the Preparation of Medium Term Plan and Budget Framework for 2008- 09 2010- 2011 Part II
    (Ministry of Finance and Planning, 2008) Tanzania, United Republic
    These forms are designed to assist public sector institutions in the preparation of their plans, budgets and performance reports. The processes to use are documented in the Medium Term Strategic Planning and Budgeting Manual
  • Item
    Guidelines For Preparation of Plans and Budget 2018-2019
    (Ministry of Finance and Planning, 2017) Tanzania, United Republic
    The Government has continued to carry out reforms in legal framework, payment systems and the budget systems in its effort to improve management of public finance and service delivery. Some of these recent reforms are as follows
  • Item
    Guidelines for the Preparation of Medium Term Plan and Budget Framework for 2015-16
    (Ministry of Finance and Planning, 2015) Tanzania, United Republic
    The Plan and Budget Guidelines (PBG) for 2015/16 is the fifth and final in implementing the Five-Year Development Plan (FYDP) 2011/12-2015/16 and also mark the end of MKUKUTA II and the 2010-2015 ruling Party Election Manifesto of the Fourth Phase Government. Therefore, the Government priorities among others will focus on preparations of successor strategy, completing unfinished development programmes and conducting the National General Election of 2015. These events together with the Local Government Election of December 2014 will have significant impact on the coming budget and require proper alignment of priorities and resources so as to ensure budget execution in an efficient manner to achieve desired results.
  • Item
    Guidelines For Preparation of Plans and Budget 2020-2021
    (Ministry of Finance and Planning, 2019) Tanzania, United Republic
    The Guidelines for Preparation of Plans and Budget for 2020/21 have been prepared in accordance with Section 21 of the Budget Act, CAP 439. The Guidelines provide general and specific instructions to be adhered by Accounting Officers of Ministries, Departments, Agencies, Regional Secretariats, Local Government Authorities and other Public Entities during the preparation and execution of plans and budget for 2020/21 in order to attain the objectives of the National Vision 2025.
  • Item
    Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2019/20 – 2021/2022
    (Wizara ya Fedha na Mipango, 2018) Tanzania, United Republic
    Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea nyaraka za kitaifa ikiwemo Sera na Mipango, Sheria, Miongozo na Waraka mbalimbali za Serikali pamoja na makubaliano ya kikanda na kimataifa yaliyoridhiwa na Tanzania. Baadhi ya nyaraka zilizorejewa ni pamoja na: Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025; Mpango wa Maendeleo wa Taifa (2021/22 – 2025/26); Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020; Mpango Kazi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara; Mpango Mkuu wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha (2020/21 -2029/30); Sheria ya Bajeti, Sura 439; Sheria ya Madeni, Dhamana na Misaada, Sura 134; Sheria ya Fedha za Umma, Sura 348; Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410; Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa Awamu ya Tatu; Mwongozo wa Ushirikiano wa Maendeleo; Agenda ya Afrika Mashariki 2050; Agenda ya Afrika 2063; na Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030.