Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2014- 2015
Loading...
Date
2014-06
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Fedha na Mipango
Abstract
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 2014/15.
Description
Keywords
Bajeti