MoF Budget
Permanent URI for this collectionhttp://10.1.67.219/handle/123456789/226
Browse
Recent Submissions
Item Hotuba ya Waziri wa Fedha Ndugu Amir H.Jamal, Mbunge kuhusu makadirio ya matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 1982-83(Wizara ya Fedha, 1982-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mheshimiwa C.D Msuya Mb.akiwasilisah bungeni makadirio ya matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 1989 - 90 (Agosti 1989)(Wizara ya Fedha, 1989-08) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh.Zakia Meghji (Mb) akiwasilisha bungeni makadirio na matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 2006-2007(Wizara ya Fedha, 2006-08) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh.Saniel N.Yona (Mb) akiwasilisha Bungeni makadirio ya matumizi ya Wizara kwa mwaka 2000-2001(Wizara ya Fedha, 2000-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh.Prof. Simon M.Mbilinyi(Mb) akiwasilisha bungeni makadirio ya matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 1996-97(Wizara ya Fedha, 1996-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh.C.D.Msuya (Mb) akiwasilisha makadirio ya matumizi ya Wizara kwa mwaka 1985-86(Wizara ya Fedha, 1985-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh.Basil P.Mlamba (Mb) akiwasilisha bungeni makadirio ya matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 2005-2006(Wizara ya Fedha, 2005-07) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh. Daniel N.Yona (Mb) akiwasilisha makadirio ya matumizi ya Wizara kwa mwaka 1999-2000(Wizara ya Fedha, 1999-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh. Daniel N.Yona akiwasilisha bungeni makadirio na matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 1998 -1999(Wizara ya Fedha, 1998-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh. Basil Mramba(Mb) akiwasilisha makadirio na matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 2004-2005(Wizara ya Fedha, 2004-08) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Hotuba ya Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Katika Wizara ya Fedha na Mipango,2019-20(Wizara ya Fedha, 2018-11) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2023 - 2024 (Ministry of Finance and Planning, 2023-06-08) Tanzania, United RepublicMheshimiwa Spika, baada ya kupokea taarifa iliyowasilishwa mbele ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Daniel Baran Sillo – Mbunge wa Babati Vijijini, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka 2022/23 na kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya mafungu tisa (9) ya Wizara ya Fedha na Mipango, pamoja na Fungu 45 - Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2023/24.Item Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2010-2011.(Wizara ya Fedha na Mipango, 2010-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Makadirio ya Mapato, Matumizi ya Kawaida na ya Maendeleo ya Wizara ya Fedha na Uchumi kwa mwaka wa fedha 2010/11.Item Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2014- 2015(Wizara ya Fedha na Mipango, 2014-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 2014/15.Item Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2015 - 2016(Wizara ya Fedha na Mipango, 2015-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likubali kupokea, kujadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 2015/16.Item Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2016 - 2017(Wizara ya Fedha na Mipango, 2016-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likubali kupokea, kujadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka 2016/17.Item Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2017-2018.(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu lipokee, lijadili na kupitisha makadilio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka 2017/18. Bajeti hii inawakilishwa kwa kuzingatia matakwa ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibada ya 137 ikisomwa pamoja na sheria ya Bajeti namba 11 ya mwaka 2015 kifungu cha 26.Item Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2018-2019(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa Hoja kwamba, Bunge lako sasa lipokee na kujadili mapitio ya utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka wa fedha 2017/18 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka ujao wa fedha 2018/19.Item Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2020 - 2021(Wizara ya Fedha na Mipango, 2020-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, iliyochambua bajeti za mafungu ya Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2020/21, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu sasa lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka 2019/20 na kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya mafungu saba (7) ya Wizara pamoja na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2020/21.Item Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2021 - 2022(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka 2020/21 na kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya mafungu saba (7) ya Wizara pamoja na Fungu 45 - Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2021/22.