Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2022-2023
Abstract
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa Mwaka 2021/22 na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya mafungu nane (8) ya Wizara, pamoja na Fungu 45 - Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa Mwaka 2022/23.
Collections
- MoF Budget [21]