Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2021/2022
dc.contributor.author | Tanzania, United Republic | |
dc.date.accessioned | 2022-11-03T11:06:52Z | |
dc.date.available | 2022-11-03T11:06:52Z | |
dc.date.issued | 2021 | |
dc.identifier.uri | https://repository.mof.go.tz/handle/123456789/216 | |
dc.description.abstract | Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2021/22 unatoa maelekezo ya kuzingatiwa na Maafisa Masuuli wa Wizara, Idara Zinazojitegemea, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi na Mashirika ya Umma wakati wa uandaaji na utekelezaji wa mpango na bajeti. Mwongozo wa mwaka 2021/22 umeandaliwa kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439. | en_US |
dc.language.iso | en | en_US |
dc.publisher | Ministry of Finance and Planning | en_US |
dc.subject | Budget Guideline | en_US |
dc.title | Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2021/2022 | en_US |
dc.type | Technical Report | en_US |
Files in this item
This item appears in the following Collection(s)
-
Budget Guidelines [33]