Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2018/2019
Abstract
Mwongozo wa Mpango na Bajeti umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti Na.11 ya Mwaka 2015 na Kanuni zake. Mwongozo wa Mwaka 2018/19 ni wa tatu katika kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21. Maandalizi ya Mpango na Bajeti yamezingatia: Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2015 ya Chama Tawala, Mpango wa Pili wa Maendeleo na Maelekezo ya Serikali.
Collections
- Budget Guidelines [33]