Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2021 - 2022

Loading...
Thumbnail Image

Date

2021-06

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Wizara ya Fedha na Mipango

Abstract

Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka 2020/21 na kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya mafungu saba (7) ya Wizara pamoja na Fungu 45 - Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2021/22.

Description

Keywords

Bajeti, Bajeti

Citation

Collections