Browsing by Author "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"
Now showing 1 - 20 of 119
- Results Per Page
- Sort Options
Item Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2013-14. Toleo la Mwananchi.(Wizara ya Fedha, 2013-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Bajeti ya Serikali mwaka 2019-20 kwa Lugha rahisi. Toleo la Wananchi.(Wizara ya Fedha, 2019-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Dondoo Muhimu Za Sera Za Kodi Katika Hotuba Ya Bajeti Ya Mwaka 2023 - 2024 - Toleo La Mwananchi(Ministry of Finance, 2023) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaUkuaji wetu wa Uchumi, unategemea Ushiriki wetu wananchi katika kulipa kodi, tulipe kodi ili maendeleo yaende kasiItem Hali ya Uchumi 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2016-17(Wizara ya Fedha na Mipango, 2016) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa Mwaka 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2016/17. Pamoja na hotuba hii nawasilisha vitabu vya Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa Mwaka 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2016/17. Taarifa ya Hali ya Uchumi na Mpango ninayowasilisha ndio msingi wa bajeti ya Serikali kwa mwaka 2016/17Item Hali ya Uchumi Katika Mwaka,2012(Wizara ya Fedha, 2012) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaPalo halisi la Taifa katika mwaka 2012 lilikua kwa kiwango cha asilimia 6.9kilinganislnva na ukuaji \Va asilimia 6.41nwaka 201 I. Ongezeko hili la ukuaj i lilitokana1a kuboreshwa kwa n1iundombinu ya usafirishaj i na ma\vasiliano parnoja na kuimarika,wa uzalishaji viwandani kutokana na jitihada za serikali za kuhakisha upatikanaji wa1meme wa uhakika sambamba na matumizi ya nishatmbadala katika uzalishajiItem Hali ya Uchumi wa Taifa 2023(Wizara ya Fedha, 2024-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwaka 2023, Pato halisi la Taifa lilifikia shilingi bilioni 148,399.76 kutoka shilingi bilioni 141,247.19 mwaka 2022, sawa na ukuaji wa asilimia 5.1 ikilinganishwa na asimilia 4.7 mwaka 2022. Ukuaji huo ulichangiwa na: jitihada mbalimbali zilizochukuliwa na Serikali ikiwemo mikakati ya kukabiliana na athari za vita kati ya Ukraine na Urusi pamoja na uwekezaji wa kimkakati katika miundombinu ya nishati, maji, afya, elimu na usafirishaji; kuongezeka kwa uzalishaji wa madini, hususan dhahabu na makaa ya mawe; na kuongezeka kwa mikopo kwa sekta binafsi iliyochachua shughuli za kiuchumi. Hata hivyo, kiwango cha ukuaji wa Pato la Taifa cha asilimia 5.1 mwaka 2023 kipo chini ya lengo la mwaka la asilimia 5.2. Hii ilitokana na: kupanda kwa gharama za uzalishaji katika baadhi ya sekta; mabadiliko ya tabianchi yaliyoathiri uzalishaji katika sekta ya kilimo kwa baadhi ya maeneo nchini na kuharibu miundombinu ikiwemo madaraja na barabara; pamoja na hatua zilizochukuliwa na nchi zilizoendelea katika kukabiliana na mfumuko wa bei zilizosababisha kuongezeka kwa gharama za mikopo kutoka masoko ya kimataifa ya fedha na hivyo kuathiri shughuli za uzalishaji.Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2022(Wizara ya Fedha na Mipango, 2022) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwaka 2022, thamani halisi ya Pato la Taifa ilifikia shilingi milioni 141,872,730 ikilinganishwa na shilingi milioni 135,478,189 mwaka 2021, sawa na ukuaji wa asilimia 4.7. Kiwango hicho cha ukuaji kilitokana na: mikakati iliyochukuliwa na Serikali kukabiliana na athari za vita nchini Ukraine; uwekezaji wa kimkakati katika miundombinu ya nishati, maji, afya, elimu, barabara, reli na viwanja vya ndege; kuongezeka kwamuzalishaji wa madini, hususan makaa ya mawe, jasi, chumvi, almasi, mawe ya chokaa na shaba; na kuongezeka kwa shughuli za utalii. Hata hivyo, kiwango cha ukuaji kilipungua kwa nukta ya asilimia 0.2 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 4.9 mwaka 2021 kutokana na athari ya vita kati ya Urusi na Ukraine iliyosababisha kupanda kwa gharama za uzalishaji katika baadhi ya sekta pamoja na mabadiliko ya tabianchi yaliyoathiri uzalishaji katika sekta ya kilimo kwa baadhi ya maeneo nchini. Aidha, sekta zilizokuwa na viwango vikubwa vya ukuaji mwaka 2022 ni pamoja na: sanaa na burudani iliyokua kwa asilimia 19.0; madini (asilimia 10.9); fedha na bima (asilimia 9.2); malazi na huduma ya chakula (asilimia 9.0) na umemeItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,1995(Wizara ya Fedha, 1995) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaPalo halisi la Taifa katika mwaka 1995 lilikua kwa kiwango cha asilimia 6.9kilinganislnva na ukuaji \Va asilimia 6.41nwaka 201 I. Ongezeko hili la ukuaj i lilitokana1a kuboreshwa kwa n1iundombinu ya usafirishaj i na ma\vasiliano parnoja na kuimarika,wa uzalishaji viwandani kutokana na jitihada za serikali za kuhakisha upatikanaji wa1meme wa uhakika sambamba na matumizi ya nishatmbadala katika uzalishajiItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,1998(Wizara ya Fedha, 1998) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMpangilio ambao u,nekuwa ukifuatwa ka1ika kua11daa ripoti ya Hali yaUchumi wa Taifa hadi mwaka 1997 ulianzisl11va mwaka 1970. Katika kipiruli hicho chore, hapakufanyika mabadiliko yoyote ya msingi katika mpangilio wa ripoti hiyoItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2001(Wizara ya Fedha, 2001) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKatika mwaka 200I, Pato halisi la Tai fa lilikua kwa asilimia 5.6ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 4.9 mwaka 2000. Ukuaji huu ulichangiwa zaidi na kukua kwa sekta za kilimo; bidhaa za viwanda; uuzaj i jumla, rejareja na ahoteli (i kijumuisha utalii); na uchukuzi na mawasiliano. Kiwango cha ukuaji wa sekta za ujenz.i; uchimbaji madini na mawe; uendeshaji serikali; umeme na maji; na fedha na huduma za bima kilishuka ikilinganishwa na ilivyokuwa mwaka 2000.Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2008(Wizara ya Fedha, 2008) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKatika mwaka 2008, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia 7 .4 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7 .1 mwaka 2007. Ukuaji hu ulichangiwa zaidi na kuongezeka kwa viwango vya ukuaji katika shughuli za kiuchumi za kilimo; uvuvi; na huduma. Ukuaj i wa viwango vya juu ulijioneshakatika shughuli ndogo za kiuchumi za: mawasiliano (asilimia 20.5); fedha (asilimia 11.9); na uj enzi (asilimia 10.5). Hata hivyo, kiwango cha ukuaji katika shughuli za kiuchumi za viwanda na uj enzi kilipungua. Mchango wa shughuli za kiuchumi za huduma umeendelea kuongezeka katika mwaka 2008 ikilinganishwa na shughuli nyingine za kiuchumi.Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2010(Wizara ya Fedha, 2010) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKatika mwaka 2010, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia7.0 ikilinganishwa na ukuaji wa asili1nia 6.0 mwaka 2009. Ukuaji huu ulichangiwa zaidi na kuongezeka kwa viwango vya ukuaji katika shughuli za kiuchumi zenye mchango mkubwa katika pato la Taifa ikijumuisha kilimo;biashara na matengenezo; na ujenzi. Ukuaji wa viwango vya juu ulijionesha katika shughuli ndogo za kiuchumi za: mawasiliano (asilimia 22. 1 ); ujenzi(asilimia 10.2); un1eme na gesi (asili1nia 10.2); fedha (asilimia IO.I); nauzalishaji viwandani (asilimia 7.9).Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2010(Wizara ya Fedha, 2010) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKatika mwaka 2010, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia7.0 ikilinganishwa na ukuaji wa asili1nia 6.0 mwaka 2009. Ukuaji huu ulichangiwa zaidi na kuongezeka kwa viwango vya ukuaji katika shughuli za kiuchumi zenye mchango mkubwa katika pato la Taifa ikijumuisha kilimo;biashara na matengenezo; na ujenzi. Ukuaji wa viwango vya juu ulijionesha katika shughuli ndogo za kiuchumi za: mawasiliano (asilimia 22. 1 ); ujenzi(asilimia 10.2); un1eme na gesi (asili1nia 10.2); fedha (asilimia IO.I); nauzalishaji viwandani (asilimia 7.9).Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2011(Wizara ya Fedha, 2011) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKatika 1nwaka 2011, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilin1ia6.4 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7.0 mwaka 2010. Kiwango kidogo chaukuaji kilitokana na hali mbaya ya ukame iliyojitokeza katika sehemumbalin1bali nchini ambapo imeathiri sekta ya kilin10, pamoja na ukosefu wanishati ya umeme ya uhakika, ambayo ilisababisha kupungua kwa uzalishaji wa bidhaa za viwandani na shughuli nyingine zinazohitaji nishati.Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2013(Wizara ya Fedha, 2013) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwaka 2013, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia 7.0ikilinganishwa na ukuaj i wa asilimia 6.9 mwaka 20 12. Ukuaj i huu ulitokana nakuimarika kwa sekta zinazochangia Pato la Taifa kwa kiasi kikubwa hususansekta za kilimo, uj enzi na biashara. Ukuaj i wa viwango vya juu ulijionesha katika shughuli ndogo za kiuchutni za: mawasiliano (asilimia 22.8); fedha(asilimia 12.2); uj enzi (asilimia 8.6); na biashara (asilimia 8.3).Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2016(Wizara ya Fedha, 2016) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwaka 20 I 6, Pato Ia Taifa I i likua kwa wastan i wa as il imia 7.0, sawa nai l ivyokuwa 1nwaka 20 1 5 . Ukuaji huu wa uchu1ni u l itokana na: kuongezeka kwaufuaj i wa u111eme hususan utokanao na gesi asilia; kLtongezeka kwa uzalishaj iviwandani; kui111arika kwa huduma za usafirishaj i; na kuongezeka kwa uandikishaj i wa wanafunzi kufuatia kuanza kwa sera ya Serikali ya kutoa elimu msingi bure il iyoanza Januari 20 I 6. Katika kipindi hicho, shughuli za uchumizil izokua kwa viwango vikubwa ni pa1noja na: ujenzi asilimia 1 3 .0; habari na mawasil iano (asilimia l 3.0); usafirishaj i na uhifadhi mizigo (asilimia 1 1 .8 ); na uchimbaj i madini na mawe (asilimia I 1 .5).Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2018(Wizara ya Fedha, 2018) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwaka 20 18, Serikali kupitia Ofisi ya Tai fa ya Takwimu ilifanya maboreshoya tak,vimu za Pato la Taifa kwa kutun1ia mwaka 20 15 kama mwaka wa kiziokutoka mwaka wa kizio wa 20.07. Kufuatia maboresho hayo, mabadiliko kadhaayalijitokeza ikiwemo mfu1no na ukubwa wa Pato la Taifa; viwango vya ukuajina 1nchango wa sekta mbali1nbali katika Pato la Taifa; na uwiano v.1a viashiria1nbalimbali kwa Pato la Taifa. Maelezo ya kina kuhusu maboresho hayo yako .katika sura ya kurniItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2020(Wizara ya Fedha, 2020) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2020(Wizara ya Fedha, 2020) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwaka 2020, Pato la Taifa lilikua kwa asilimia 4.8 ikilinganishwa na asilimia 7.0 mwaka 2019. Kupungua kwa kasi ya ukuaji kulitokana na: mvua zilizozidi wastani ambazo zilisababisha uharibifu wa miundombinu ya usaflrishaji nchini na kuchelewesha utekelezaji wa baadhi ya miradi; na athari za hatua zilizochukuliwa na mataifa mbalimbali duniani ambao ni washirika wakubwa wa biashara wa Tanzania katika kukabiliana na janga la UVIK0-19.Item Hali ya Uchumi wa Taifa,1987(Wizara ya Fedha, 1987) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKalika mwaka 1987, hali ya uchumi wa IBifa haiku wa 1ofau1i sana nailivyokuwa ka1ika mwaka 1986. Uzalishaji kwa jumla uliongezeka Zaidi kidogo na japokuwa bei kwa waslani zilicndelea kuwa za juu, upalikanaji wa bidhaa muhimu uliendelea kuwa nafuu ingawajc upungufu wa baadhi ya bidhaa bado uliendelca. Upandc wa hudum a muhimu, upungufu ulicndclca kulokana na uhaba wa vifaa vya kulolea huduma na pia upanukaji wa ha raka wa mah!IBji ya huduma zenyewc kulokana naongczcko la haraka la idadi ya walu.