The Ministry of Finance and Planning: Recent submissions
Now showing items 1-20 of 109
-
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2006 - 2007
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2006-06)Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge likubali kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2006/2007. Pamoja na hotuba hii, vimetayarishwa vitabu vinne vinanyoelezea kwa ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2010-2011.
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2010-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Makadirio ya Mapato, ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2014- 2015
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2014-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2015 - 2016
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2015-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likubali kupokea, kujadili na ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2016 - 2017
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2016-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likubali kupokea, kujadili na kupitisha Makadirio ya ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2017-2018.
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017-06)Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu lipokee, lijadili na kupitisha makadilio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka 2017/18. Bajeti hii inawakilishwa kwa kuzingatia matakwa ya katiba ya Jamhuri ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2018-2019
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018-06)Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa Hoja kwamba, Bunge lako sasa lipokee na kujadili mapitio ya utekelezaji ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2020 - 2021
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2020-06)Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, iliyochambua bajeti za mafungu ya Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Ofisi ya Taifa ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2021 - 2022
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2022-2023
(Jamhuri ya Muungano, 2022-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango ... -
Public Assets Management Guideline
(Ministry of Finance and Planning, 2019)An Asset is an item, thing or entity that has potential or actual value to an organization. The value will vary between different organizations and their stakeholders, and can be tangible, financial or non-financial ... -
Mapendekezo na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Mwaka
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu likae kama Kamati ya Mipango ili kupokea na kujadili Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ... -
Financial Statement, Public Expenditure and Revenue Estimates : As Passed by the Parliament 2022 / 2023
(Ministry of Finance and Planning, 2022)Financial Statement, Public Expenditure and Revenue Estimates Volume 1- IV: As Passed by the Parliament 2022 / 2023 -
Financial Statement, Public Expenditure and Revenue Estimates : As Passed by the Parliament 2021/2022
(Ministry of Finance and Planning, 2021)Financial Statement, Public Expenditure and Revenue Estimates Volume 1- IV: As Passed by the Parliament 2021 - 2022 -
Financial Statement, Public Expenditure and Revenue Estimates : As Passed by the Parliament 2018 - 2019
(Ministry of Finance and Planning, 2018)Financial Statement, Public Expenditure and Revenue Estimates Volume 1- IV: As Passed by the Parliament 2018 - 2019 -
Financial Statement, Public Expenditure and Revenue Estimates : As Passed by the Parliament 2015 - 2016
(Ministry of Finance and Planning, 2015)Financial Statement, Public Expenditure and Revenue Estimates Volume II - IV : As Passed by the Parliament 2015 - 2016 -
Financial Statement, Public Expenditure and Revenue Estimates : As Passed by the Parliament 2014 / 2015
(Ministry of Finance and Planning, 2014)Financial Statement, Public Expenditure and Revenue Estimates Volume II - IV As Passed by the Parliament 2014-2015 -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2019/20 – 2021/2022
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2022/2023
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2021/2022
(Ministry of Finance and Planning, 2021)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2021/22 unatoa maelekezo ya kuzingatiwa na Maafisa Masuuli wa Wizara, Idara Zinazojitegemea, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi na ...