Ijue sheria ya Bajeti Namba 11 ya Mwaka 2015

dc.contributor.authorTanzania, United Republic
dc.date.accessioned2022-09-19T21:26:39Z
dc.date.available2022-09-19T21:26:39Z
dc.date.issued2016-09
dc.description.abstractSheria ya Bajeti Namba 11 ya Mwaka 2015 na Kanuni zake zilianza kutumika rasmi tarehe 1 Julai, 2015. Tangu sheria imeanza kutumika hadi sasa, kumekuwa na ongezeko la uhitaji wa wadau mbalimbali kutaka kuifahamu sheria hiyo. Kutokana na mahitaji hayo, Serikali imeona ni vyema kutoa chapisho hili la IjueSheria ya Bajeti Namba 11 ya Mwaka 2015. Lengo kuu la chapisho hili ni kujenga uelewa juu ya sheria ya bajeti kwa umma na wadau wengine kwa ujumla. Chapisho hili linatoa maelezo kwa lugha rahisi juu ya chimbuko la sheria, sababu za kuwepo kwa sheria na mambo muhimu yaliyozingatiwa kwenye sheria hiyoen_US
dc.identifier.urihttp://knowledgebank.mof.go.tz/handle/123456789/111
dc.language.isoen_USen_US
dc.publisherMinistry of Finance and Planningen_US
dc.subjectBudget Lawen_US
dc.titleIjue sheria ya Bajeti Namba 11 ya Mwaka 2015en_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
IJUE SHERIA YA BAJETI NAMBA 11 YA MWAKA 2015.pdf
Size:
394.79 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Swahili-Fulltext

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: