Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2024-2025

dc.contributor.authorThe United Republic of Tanzania
dc.date.accessioned2025-03-13T08:33:08Z
dc.date.available2025-03-13T08:33:08Z
dc.date.issued2023-11
dc.description.abstractMwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439. Mwongozo wa mwaka 2024/25 ni wa nne (4) katika utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26. Pamoja na mambo mengine, maandalizi ya Mwongozo huu yamezingatia: Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu ya Mwaka 2020; Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2021/22 – 2025/26); maelekezo mahsusi ya Serikali; na Agenda ya Afrika 2063. Lengo la Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali ni kutoa maelekezo kuhusu maandalizi ya Bajeti ya mwaka 2024/25 kwa Maafisa Masuuli wote kuandaa mipango yao na bajeti kwa kuzingatia vipaumbele vya kitaifa na kisekta pamoja na Sheria za Nchi, Kanuni, Nyaraka na Miongozo mbalimbali ya Kisekta na Serikali kwa ujumla.en_US
dc.identifier.urihttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/844
dc.language.isoenen_US
dc.publisherWizara ya Fedhaen_US
dc.subjectMwongonzo wa Bajetien_US
dc.subjectMpango wa Bajetien_US
dc.subjectMiradi ya Maendeleoen_US
dc.titleMwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2024-2025en_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2024-2025 (3)_compressed_compressed.pdf
Size:
12.46 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Swahili - Text

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: