Muswada wa Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi wa Mwaka, 2024.
Loading...
Date
2024-11
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Fedha
Abstract
Sheria ya kuweka masharti ya uendelezaji wa uwekezaji Tanzania, kuweka masharti ya mazingira bora kwa wawekezaji, kuweka mfumo wa kitaasisi kwa ajili ya uratibu, ulinzi, uvutiaji, uhamasishaji na uwezeshaji wa uwekezaji nchini, kuweka utaratibu wa uanzishaji, uendelezaji na usimamizi wa maeneo maalumu ya kiuchumi, kufuta Sheria ya Uwekezaji Tanzania, 2022, Sheria ya Maeneo Maalumu ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje, 2002 na Sheria ya Maeneo Maalumu ya Uwekezaji, 2006 na masuala yanayohusiana na hayo.
Description
Keywords
Uwekezaji, Sheria ya Uwekezaji