Hotuba ya Mhe. Waziri wa Fedha Akiwasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti Ya Serikali Kwa Mwaka 2024/2025
Abstract
Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda kutumia nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia afya njema na kuniwezesha kuwasilisha mbele ya Bunge lako Tukufu Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2024/2025.