Hotuba ya Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Prof.Kighoma A.Malima, Mbunge, wakati akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka, 1993-1994
Abstract
Mheshimiwa Spika, torehe 17 Juni Mwaka huu niliwasilisha mbele ya Bunge lako tukufu Bajeti ya Serikalj kwa Jumla kwa mwaka 1993/94, Bajeti hiyo ndiyo imekuwa msingi wa Bunge hill kuchambua, kujadili, na hatimaye kuidhinisha bajeti ya kila Wizara, Leo nina heshima kuwasilisha makisio na shabaha zilizomo katika makadirio ya matumizi ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka,1993/94